Ridhiwani Again

Ridhiwani Again

USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.
I cant understand!!
kichwa cha nyoka,mwili wa sungura...ridhiwan na viwanja huku mnyika na bunge,nini coincidence hapa
 
USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.

You can withdraw your vote to mnyika, watoto wangu 5 wameishafikisha miaka 18, wata replace hiyo kura yako, wale wabunge waliopita kwa miaka mingi na wakiwa chini ya chama tawala walikufanyia nini? mwagia limau akili yako ipate kuwa activated, mnyika bila kuanzia kutungua huko juu serikalini kwenye udhaifu ambako kunazuia wewe usipate maji, unafikiri yeye ni dawasa? tunahitaji mabadiliko.
 
kilichobaki tupige magoti tusali uongozi huu wa kifalme siku ifike na ukomeshwe:sad:
 
BREAKING NEWS ufisadi mwingine wa Ridhiwani Kikwete anunua vile viwanja vya Temeke ambavyo vilikuwa
vinatangazwa sana na Manispaa amenunua viwanja 40 kwa Tshs
4,000,000/= HAKI YA MTANZANIA WA KAWAIDA IPO
WAPI?
Una ushahidi wowote mkuu?
 
[h=6]USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.[/h]
Hoja yako haihusiani na topic. Hatahivo unafikiri asipoongelea uandaaji mzuri wa budget na uwajibikaji hizo pesa ya kutoa huduma ubungo itatoka wapi? Huko kukosekana na huduma ni kwa sababu ya ubovu wa watendaji kuanzia kwa Rais.
 
BREAKING NEWS ufisadi mwingine wa Ridhiwani Kikwete anunua vile viwanja vya Temeke ambavyo vilikuwa
vinatangazwa sana na Manispaa amenunua viwanja 40 kwa Tshs
4,000,000/= HAKI YA MTANZANIA WA KAWAIDA IPO
WAPI?

Ipo siku atatemeshwa mpaka nguo ya ndani hakunaga mtereko katika ulimwengu huu ukipata kirahisi ujue kupoteza ni kama upepo tena asishangae na kitanzi kikawa ndo kifo chake siku mageuzi yatakapofanyika
 
USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.
hapa ndo wabongo wengi hamueleweki.pamoja na hilo ila mnyika kama mbunge anahaki ya kuikosoa serikali.
na yeye ndicho alichofanya kwa kuikataa bajeti.
moja ya kasoro kuuubwa zilizoko katika bajeti ni fedha kiasi kidogo sana kutengwa kwa ajili ya maji, ujenzi na umeme.
sasa kama ni hivyo unataka mnyika ainyamazie ile bajeti ipite alaf aje atoe hela zakemfukon ili atatue matatizo yaliyopo jimboni kwake??
Toa siasa na usaliti wako hapa kama huna hoja ya maana.
 
[h=6]USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.[/h]
Hoja yako haihusiani na topic. Hatahivo unafikiri asipoongelea uandaaji mzuri wa budget na uwajibikaji hizo pesa ya kutoa huduma ubungo itatoka wapi? Huko kukosekana na huduma ni kwa sababu ya ubovu wa watendaji kuanzia kwa Rais.
 
Tuweni makini. Huyu aliyeingiza hoja ya Mnyika anatakata kututoa kwenye Hoja ya wizi wa viwanja wa Ridhiwan. Nashiwishika kuamini Ridhiwan kauziwa hivo viwanja kwa hiyo bei nafuu ndo maana wanaleta hoja ya Mnyika kutusahaulisha. Wanaojua wizi wa viwanja ya Ridhiwan wazimwage.
 
[h=6]USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.[/h]

umepotea thread ndugu! Hile thread kuhusu jk nidhaifu sana siyo hii
 
Magwanda hamna hoja mna viroja. Hata bungeni sasa hivi, watu wanapanda wanapiga porojo lakini hawaongelei hoja ya bajeti iliyo mbele yao. Mmepeleka bajeti mbadala ina mapato "0".

dhaifu sana wewe ndio maana povu linakutoka.
 
Tuliandika mwaka jana i think hii inawezekana...................

[url]https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/155253-vigogo-wa-ccm-wapewa-fadhila-ya-viwanja-geza-ulole-kigamboni.html[/URL]

WanaJF

Katika hali ya kusikitisha na kusitajabisha mnamo mwezi wa sitta manisipaa ya temeke ilitoa tangazo la
kuuza viwanja 2800 lakini 742 ndo vilivyogwawiwa. siku hiyo wananchi walipanga msitali tokea asubuhi mpaka
saa 10 jion lakini cha kushangaza watu waliopata viwanja ni wale vigogo wa siku zote ina mana siku hawana viwanja??
kwanini kila kitu wanachukua wao??

1. George mkuchika na mtoto wake
JE hawa pamoja na kuiibia serikali hawajalizika naviwanja walivyonavyo?

2. M mwandosya
Kwanin huyu mtu aliwaachia wanaanchi wa kawaida wakapata?

3. khalfani kikwete
Sijui hapa nisemeje?

4. Pinda chana
Hawa wanaendelea kutunyonya

5. R. Dau

Kanyonya sana NssF? na huku tunahesabu maumivu

6. Said mek sadiki na mke wake
Na ukaimu mkuu wa mkoa huna kiwanja?

7 Sophia simba
Sijui huyu anataka viwanja na pesa zote amiliki yeye?? epa??

8. Omari Mzee (zanzibar)

9. HAwa Ghasia na ndugu zake

List ni ndefu ukifika pale temeke utaona watoto wengi wa vigogo ndo wamepota\

HUU NI UNYONYAJI KWA WATANZANIA WA HALI YA CHINI
 
Nafikiri umesema kitu cha maana, lakini hujagusa kabisa mzizi. Karibu serikali zote za mitaa katika jimbo la ubungo ni za CCM na hazifanyi kazi kabisa, ni uizi na kuuza maji. Sasa wananchi wa Ubungo labada tukubaliane kuzipiga chini hizi serikali za mitaa. huku kwetu golani Msewe wamekula milioni 60 kwenye mradi wa tanki la maji la GODI. Sijui huko kwenu mnajiandaaje. huku msewe kitanuka muda sio mrefu. Kuna mradi wa vijana wa workshop nao umekwamiswa na hawa, kuna police post imejenwa kwa miaka karibu 20 haijaisha. matanki ya maji ya dawasco yanatumika na watu binafsi kuuza maji, kwa bei hiyo unayosema. Hapo vipi. Tuwangoe hawa ili tupate watakaofanya kazi na Mnyika.

kaka kula gwala!
 
USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.

Watu wengine inaelekea hamjisumbu kufikiria.... yaani no crical thnking or analytical thinking........... !! Anachokipigania Mnyika bungeni ndicho hicho!! Sasa kama serikali haitengi pesa za maendeleo, hivi unafikiria maji yatakuja na nini?? Hivi ulishawahi pita Ruvu juu ukaona chanzo cha maji yanapotokea??
 
USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.
How is it connected to the original THREAD? Mbaona unatuchanganya?
 
Back
Top Bottom