Ridhiwani Again

Ridhiwani Again

CCM wamehaidi maji umeme na afya zaidi ya miaka hamsini mbona hujawauliza majinga kama nyinyi ndiyo chanzo cha ukosefu wa maendeleo hujui hata kazi ya mbunge kuwa ni kupeleka hoja amabzo tayari ameisha zipeleka lakini serikali ya GOIGOI KIKWETE INATUMIA HELA KUFANYIA UTALII YEYE NA FAMILIA YEKE. HILI LA VIWANAJA HATA MIMI NINA MASHAKA NA HII STORY KAMA NI YA KWELI.
USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.
Nilitarajia kumskia mnyika ndani ya bunge anazungumzia mambo haya, badala yake anaenda kuzungumza mambo ambayo kwa uhakika hayagusi matatizo na ahadi zile alizokuwa anawahaidi wanaUbungo.
 
Ntunapo sema Magufuli bado hajatumbua majibu anahangaika na chunusi tunamaanisha, namuombea bado anashughuli kubwa mbele yake...
 
Hivi ukiwa chadema ni lazima uwe na roho ya kichawi?roho yenye kutu na chuki? Na hasa kwa waislamu?
 
BREAKING NEWS ufisadi mwingine wa Ridhiwani Kikwete anunua vile viwanja vya Temeke ambavyo vilikuwa
vinatangazwa sana na Manispaa amenunua viwanja 40 kwa Tshs
4,000,000/= HAKI YA MTANZANIA WA KAWAIDA IPO
WAPI?

Ushahidi wa kimaandishi please, we need a written proof hatutaki longolongo
 
hata kama hamna source huyo dogo ananjaa sana na ardhi ya tz........akome
 
kuna mtu alileta habari ya MWAMUNYANGE KUPEWA SUMU....kuna mwenye taarifa zake???
 
Tunaipeleka pabaya jamii forum, hizi habari za uzushi zinashusha hadhi ya mleta mada na jamvi zima.
 
Duu hii ni 2012 baba yake akiwa madarakani , vipi alikanusha ,maana hata vile viwanja vya gezaulole ni deal za wakubwa
 
Kwahiyo kalipa million 120 kama mchezo prince Rizwan? Anataka kuinunua dar yote?
 
hii thread ya 2012 ila watu wanajibu utadhani ya leo.
 
BREAKING NEWS ufisadi mwingine wa Ridhiwani Kikwete anunua vile viwanja vya Temeke ambavyo vilikuwa
vinatangazwa sana na Manispaa amenunua viwanja 40 kwa Tshs
4,000,000/= HAKI YA MTANZANIA WA KAWAIDA IPO
WAPI?

Yule mama wa mradi yule mnyakyusa alininyima kiwanja nilicho ofa kununua kwa milioni 10. Asante mama mwakalinga
 
ipo siku wananchi watauliza zi wapi mali zetu ?
tumeyaona nchi za wenzetu,siku si nyingi watanzania waoga uoga utawatoka.
familia hii inatamaa ya mali sana muda si mrefu alinunua eneo la mchicha pale tazara nakuweka fensi lkn nimeona ile fensi imebomolewa nafkiri anatamani atununue watanzania atufuge kama mbuzi sijaelewa hivi ni ulimbukeni wa fedha?
 
huyu dogo kwa sasa atulie hizi ni nyakati nyingine kwa sasa waTZ itabidi turudishe Azimio letu la Arusha la Zanzibar life
 
Hivi ukiwa chadema ni lazima uwe na roho ya kichawi?roho yenye kutu na chuki? Na hasa kwa waislamu?
Akili za tope,ubongo umeliwa na funza. Jisome tena. Ovyo kabisa. Umeingiaje kwenye udini? CDM wapo wa dini zote na waso dini. Sheikh Yahya na wafuasi wake alikuwa anapambana na nani,je UAMSHO Zenji? Awamu ya 4 tublichonganishwa sana.
 
Back
Top Bottom