Vigogo wa CCM wapewa fadhila ya viwanja Geza Ulole-Kigamboni

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
WanaJF


Katika hali ya kusikitisha na kusitajabisha mnamo mwezi wa sitta manisipaa ya temeke ilitoa tangazo la
kuuza viwanja 2800 lakini 742 ndo vilivyogwawiwa. siku hiyo wananchi walipanga msitali tokea asubuhi mpaka
saa 10 jion lakini cha kushangaza watu waliopata viwanja ni wale vigogo wa siku zote ina mana siku hawana viwanja??
kwanini kila kitu wanachukua wao??

1. George mkuchika na mtoto wake
JE hawa pamoja na kuiibia serikali hawajalizika naviwanja walivyonavyo?

2. M mwandosya
Kwanin huyu mtu aliwaachia wanaanchi wa kawaida wakapata?

3. khalfani kikwete
Sijui hapa nisemeje?

4. Pinda chana
Hawa wanaendelea kutunyonya

5. R. Dau

Kanyonya sana NssF? na huku tunahesabu maumivu

6. Said mek sadiki na mke wake
Na ukaimu mkuu wa mkoa huna kiwanja?

7 Sophia simba
Sijui huyu anataka viwanja na pesa zote amiliki yeye?? epa??

8. Omari Mzee (zanzibar)

9. HAwa Ghasia na ndugu zake



List ni ndefu ukifika pale temeke utaona watoto wengi wa vigogo ndo wamepota\


HUU NI UNYONYAJI KWA WATANZANIA WA HALI YA CHINI
 
na HAwa Ghasia na ndugu zake

Kweli tunakoelekea sio kuzuri watu wataingia msituni kwa unyonyaji
 
Hawa wote hakuna aliepanga foleni benki, kuchukua fomu wala foleni ya kurudisha.
Na kwa taarifa yetu tu ni kwamba hata vya kinyerezi wapo katika hawa watapata,
na hata vya burka arusha pia wapo katika hawa wapo kule pia.
 
2000's waliiba nyumba za serikali wakajiuzia kwa bei ya kutupa leo tuna mwawaziri wanaishi African hotel kwa mamilioni ya shilingi bado tena leo wanajiuzia viwanja kwa majina ya familia,tusubiri 2016 watavirudisha vitu vyote tena kwa viboko vinginevyo watatakiwa kuihama hii inchi
 
ndugu zangu hata siku moja haki haipatikani kwa kupewa tu, huwa inadaiwa tena wakati mwingine kwa gharama kubwa tu. Hivyo ni jukumu lenu ninyi wananchi kudai haki zenu kwa nguvu zote. Kulalamika tu hakutawasidia chochote. Kelele za chura hazimzuii tembo/ng'ombe kunywa maji.
 
nyie wengine mkipewa viwanja huwa mnatelekeza, manispaa wanaangalia na uwezo wa mtu kujenga kwa kufuata mipango miji, tanzania ni kubwa nendeni rufiji mkajikatie msitu

Wewe vp huko nako wameuza kwa wageni.
 
hii ndio magamba kama ulikuwa hujui upewe wewe una hela aliye nacho ataongezewa.
 
Back
Top Bottom