Ridhiwan, Lowassa waelezea utajiri wao

Ridhiwan, Lowassa waelezea utajiri wao

Wote waongo hao!! Lowassa ni tajiri wa kutupwa ebu anza tu na Alpha Investiment....1.Alpha House(Ghorofa nne)--Victoria
2.Alpha School-Mikocheni Majengo kama mvua pale
3.Alpha Arpartments ndio usiseme
4.Share DarVilla(Apartment zaidi ya 100)
5.Supermarkets Arusha!!
6.Nyumba masaki za kupanga.

.Riz.one we na wewe usiongee kabisa wewe ni tajiri unamzidi lowassa,kuna ghorofa 6 unajenga karibia na oysterbay police!! Rudisha bil64 za EPA ulizokwapua!! Kuna mjengo wako upo mikocheni tulikuja kufanya usafi siku moja hapo na kampuni ya kukodi yani magari niliyaona humo ndani ni balaaa ila nashukuru ulitupa maziwa ya kunywa!! Tandale una ghorofa ndani umeweka magari ya kifahari tu,umemuweka mpambe wako anasimamia dcm za gongo la moto zipo kama 30 hiv TG&TA,tanzania nzima una majengo mnatumia urais wa baba yenu vibaya yani hadi miraji mvuta bangi ana bonge la hekaru kinyerezi,huyu mvuta bangi alishawahi kumuibia baba yake mark 2!! Iringa riz1 una mashimo ya kuchimbia mawe una ma-crusher ya kukinga,kampuni yako ndio inayopata tenda ya kujenga mji wote wa iringa kwa kusupply mchanga,kokoto,cement nk! Tukirudi kwenye viwanja vya kupima una viwanja zaidi ya 100! Wewe ni tajiri tz nzima,umeweka semi 100 kwa davis mosha,haya tena semi zako 70 zimekamatwa! Una kampuni za kusafirisha mafuta lake oil yako,umefungua oil station(sheli) karibu tz nzima! Forbes inabidi wakuingize kwenye under 40 cash kings umemzidi utajiri hadi mark zurb(mmiliki wa facebook)!!
mkuu mmiliki wa alpha schools, dry cleaner, na vyote hivyo ni prof. Mayo yuko pale uhandisi mlimani. mkewe alikuwa anafanya TRA zamani. ni contractor wa siku nyingi sana na anamilliki majengo mengi tu kkoo sinza, mikocheni na hata changanyikeni. anafundisha WRE ila ni mmeru ambaye nafikiri anatoka sehem moja ama anaukaribu na sumari, na huyu lowassa.
 
Kumsikiliza lowasa au riziwani inabidi uwe na kichwa cha km mwendawazimu
 
Jamani hivi TAKUKURU hawawezi kweli kuchukua hivi vidhibiti wavifanyie upelezi? Yaani taasisi ya Kupambana na Rushwa ni hadi wapelekewe mtu mkononi ni kwamba hawana taaluma ya uchunguzi kabisa!?

Masterproud unaongelea TAKUKURU ipi, hii hii ya EDWARD HOSEA? siku wakimchunguza Riz Moja na kumtia hatiani nakunya juu ya meza ya boss wangu nione atanifanya nini?
 
Mtampigia chapuo sanasana tena sana huyo Nyoka wa ndimi2 ndani ya nyumba ya ccm lakini atakwama tu. Ngoja tusubiri mshindo wake mkuu unaokuja kwani ameuma sana mpaka Akina Mwakiembe amewauma.
 
Wote waongo hao!! Lowassa ni tajiri wa kutupwa ebu anza tu na Alpha Investiment....1.Alpha House(Ghorofa nne)--Victoria
2.Alpha School-Mikocheni Majengo kama mvua pale
3.Alpha Arpartments ndio usiseme
4.Share DarVilla(Apartment zaidi ya 100)
5.Supermarkets Arusha!!
6.Nyumba masaki za kupanga.

.Riz.one we na wewe usiongee kabisa wewe ni tajiri unamzidi lowassa,kuna ghorofa 6 unajenga karibia na oysterbay police!! Rudisha bil64 za EPA ulizokwapua!! Kuna mjengo wako upo mikocheni tulikuja kufanya usafi siku moja hapo na kampuni ya kukodi yani magari niliyaona humo ndani ni balaaa ila nashukuru ulitupa maziwa ya kunywa!! Tandale una ghorofa ndani umeweka magari ya kifahari tu,umemuweka mpambe wako anasimamia dcm za gongo la moto zipo kama 30 hiv TG&TA,tanzania nzima una majengo mnatumia urais wa baba yenu vibaya yani hadi miraji mvuta bangi ana bonge la hekaru kinyerezi,huyu mvuta bangi alishawahi kumuibia baba yake mark 2!! Iringa riz1 una mashimo ya kuchimbia mawe una ma-crusher ya kukinga,kampuni yako ndio inayopata tenda ya kujenga mji wote wa iringa kwa kusupply mchanga,kokoto,cement nk! Tukirudi kwenye viwanja vya kupima una viwanja zaidi ya 100! Wewe ni tajiri tz nzima,umeweka semi 100 kwa davis mosha,haya tena semi zako 70 zimekamatwa! Una kampuni za kusafirisha mafuta lake oil yako,umefungua oil station(sheli) karibu tz nzima! Forbes inabidi wakuingize kwenye under 40 cash kings umemzidi utajiri hadi mark zurb(mmiliki wa facebook)!!

Hapo red siyo ya Prof wa Engineering, UDSM?
 
Mbona fred Lowassa anaweza kua na hela kuliko RIz1 (majumba ya kupumzika SOuth Africa na London). Itakuaje Riz1 amzidi sasa Lowassa ambaye ndiyo DOn wa misheni town? na hizi bil 64 mwaka 2005, Riz alikua mwanafunzi alizipataje hadi kumzidi mbunifu na Kingpin wa EPA, Mr RA aliyepata zaidi ya bil40? maghorofa na magari hata watoto wa maskini waliopiga piga misheni town wanamiliki (sioni vibaya riz1 akimiliki haya). malori benki zinatoa mikopo ukishakua na maghorofa yako.

hizi chuki ndizo zinafanya tuonekane waongo na wazushi huku tukilaani vitu obvious na kusahau mambo muhimu kama ULIPAJI KODI WA MALI HIZI
 
Bado hajatoa hoja za kumtenga yeye na utajiri wake wa kupindukia anaodiawa kuumiliki tena huku akituhumiwa kwa ufisadi.mfano wa hivi karibuni ni Richmond.
 
mkuu mmiliki wa alpha schools, dry cleaner, na vyote hivyo ni prof. Mayo yuko pale uhandisi mlimani. mkewe alikuwa anafanya TRA zamani. ni contractor wa siku nyingi sana na anamilliki majengo mengi tu kkoo sinza, mikocheni na hata changanyikeni. anafundisha WRE ila ni mmeru ambaye nafikiri anatoka sehem moja ama anaukaribu na sumari, na huyu lowassa.

Prof Mayo ni Mwiraqw wa mbulumbulu, Mke wake nafikiri ni mpare
 
RICHMOND NI YA NANI LOWASSA?unahalalisha hela ulizotuibia eeeh?
 
Riz1 mwongo, malori ni yake na ushahidi upo. Kwanini ajitetee uongo? bora angekaa kimya asije umbuka.[QUOTE=OKW BOBAN SUNZU;5102138]Waziri Mkuu aliyejiuzuru Mh.Edward Lowasa ameendelea kutapatapa katika medani za siasa. Safari hii amejitetea kuwa hana utajiri wa kutisha kama maadui wake wanavyomchafua, badala yake ana utajiri wa ''kutisha'' wa watu wenye mapenzi nae

Source: Tanzania Daima

Kutoka gazeti la Mwananchi:

Ridhiwan, Lowassa waelezea utajiri wao

Jumatatu, Novemba26 2012 | Mwananchi

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na mtoto wa Rais Jakaya Kikwete, Ridhiwan wamezungumzia tuhuma ambazo zimekuwa zikielekezwa kwao kwamba wanamiliki rasilimali zenye thamani ya mabilioni ya shilingi.

Lowassa kwa upande wake amekuwa akidaiwa kuwa tajiri anayemiliki kampuni kubwa za kibiashara na kumekuwa na taarifa kwamba ana ukwasi ambao vyanzo vyake vinatia shaka na siyo rahisi kuvitolea maelezo.

Kwa upande wake Ridhiwan naye amekuwa akidaiwa kuwa na utajiri mkubwa na amekuwa akihusishwa na biashara za kampuni za kusafirisha mafuta ambayo hupelekwa kwenye migodi, umiliki wa hoteli na majengo kadhaa ya kifahari.

Wote wawili wamekuwa wakidaiwa kwamba baadhi ya mali zao wamekuwa wakiziendesha chini ya kivuli cha wafanyabiashara wengine wakubwa nchini ili kukwepa kuhojiwa walikotoa utajiri huo, taarifa ambazo hata hivyo imekuwa vigumu kuzithibitisha.

Hata hivyo jana kwa nyakati na mazingira tofauti, Lowassa na Ridhiwan walijitokeza hadharani na kukanusha madai kwamba wao ni matajiri wa kupindukia.

Lowassa kwa upande wake akiwa mjini Mbeya alisema yeye siyo tajiri kama ambavyo imekuwa ikidaiwa lakini wakati huohuo akasema “sijafilisika”.

“Wengi wanasema kuwa mimi ni tajiri siyo kweli, lakini sijafilisika kutokana na kuchangia makanisa kwani nina marafiki wengi ambao wananisaidia katika kuchangia makanisa nao pia hawajafilisika,”alisema Lowassa.

Lowasa alitoa kauli hiyo alipokuwa akiendesha harambee ya kuchangia ujenzi wa hosteli ya wanachuo wanawake ambao ni wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Theofilo Kisanji cha mkoani Mbeya, kinachomilikiwa na Kanisa la Moraviani Tanzania, Jimbo la Kusini Magharibi.

Kiongozi huyo ambaye alichangia kaisi cha Sh25 milioni, alisema kila mtu ana wajibu wa kuchangia elimu na kwamba mwanamke anapaswa kutazamwa kwa karibu zaidi kwani ndiye anayebeba jukumu kubwa la kutunza familia.

Kwa upande wake Ridhiwan alisema: “Ikiwa mimi ni tajiri wa kiasi kinachosemwa, basi mimi ninamzidi Bakhressa (Said Salim, mfanyabiashara maarufu Afrika Mashariki), maana nimepewa kila hoteli hapa mjini, kampuni za mafuta na kila biashara kubwa inayoanzishwa hapa mjini ni ya Ridhiwan”.

Said Salim Bakhressa ni mfanyabiashara ambaye anatajwa kuwa tajiri kuliko wote nchini na anashika nafasi ya pili katika nchi za Afrika Mashariki na Kati, huku akiwa miongoni mwa wafanyabiashara 10 wanaonyemelea kuingia katika nafasi za juu za utajiri Afrika.

Hata hivyo Ridhiwan ambaye hivi karibuni alichaguliwa kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), aliongeza: “Ninaweza kuwa nafanya biashara moja au mbili, lakini siwezi kuwa mmiliki kiasi chote hicho cha mali.

Mtoto huyo wa Rais Kikwete alikuwa akijibu tuhuma kwamba magari yake kumi ya kusafirisha mafuta yamekamatwa na kuzuiwa katika mpaka wa Kenya na Tanzania, Namanga mkoani Arusha kutokana na kukwepa kodi, taarifa ambayo aliikanusha.

Maelezo ya Ridhiwan
Maelezo ya Ridhiwan yamekua wakati kukiwa na taarifa kwamba Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inayashikilia malori mapya 10 ya kubebea mafuta yanayodaiwa kuwa ni yake, yanayodaiwa kuingizwa nchini.

Hata hivyo Ridhiwan alikanusha kuhusika na biashara ya mafuta akisema: “Ili kuwa na utajiri unaotajwa kwangu lazima niwe nimekopa benki au nimeiba, sasa wale wanaonituhumu wasema nimekopa benki gani na kama nimeiba basi wajitokeze watu kulalamika kuhusu wizi nilioufanya”.

Mtoto huyo wa Rais Kikwete, alisema kumekuwa na kile alichokiita uzushi wa ajabu na kwamba hajui wanaozusha mambo hayo wana malengo gani. “Wameanza kusema kwamba nauza dawa za kulevya jambo ambalo siyo kweli, mie sifanyi biashara za aina hiyo, kama kuna jambo jingine tuunguze lakini hilo ni uzushi tu,”alisisitiza.

Habari zilizopatikana jana, zilidai malori hayo mapya yanashikiliwa na TRA kituo cha mpakani cha Namanga kwa madai ya kuwapo “utata” wa malipo ya ushuru wa forodha.

Taarifa za kuzuiwa kwa malori hayo zilianza kuzagaa nchini wiki mbili zilizopita kupitia mitandao ya kijamii ukiwamo mtandao maarufu wa Jamii Forums (JF).

Kulingana na taarifa hizo, watu walioshuhudia magari hayo walidai yalikuwa zaidi ya 70 yakitokea Kenya kutengenezwa bodi huku wengine wakidai yalikuwa ni mapya.

Baadaye taarifa hiyo ilibadilika na kusema kwamba magari hayo yalikuwa 20 na kwamba ni malori 10 tu ndiyo yaliyolipiwa ushuru na kuingia nchini, lakini malori mengine 10 yalikuwa yakiendelea kushikiliwa kutokana na ukwepaji wa kodi.

“Ni kweli hayo magari ni ya huyo bwana mkubwa na yalikuwa 20, lakini 10 yalilipwa ushuru halali”alidai ofisa mmoja wa TRA kituo cha Namanga.

Ridhiwan alisema kuthibitisha kwamba tuhuma hizo ni za uwongo haiwezekani mtu anayetajwa kuwa tajiri kama yeye ashindwe kulipia ushuru wa malori kumi.

“Uwongo mwingine huo, kama kweli ningekuwa nina utajiri wote huo, nishindwe kulipia ushuru wa malori kumi tu! Ndo maana nasema ni uwongo tena wa kutunga,”alisema.

Kaimu Meneja wa TRA Arusha, Theresia Mponeja alipulizwa na gazeti hili wiki iliyopita alikanusha kuzuiwa kwa malori hayo na kwamba hakuna taarifa hizo.

Lowassa na elimu

Katika hafla ya jana mjini Mbeya, Lowassa aliendelea kuipigia chapuo elimu akisema: “Ni vizuri vijana wetu wakazingatia elimu kwani bila elimu watashindwa kuhimili ushindani wa ajira katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.”

“Msipozingatia elimu mtabakia kuwa wachota maji na wakata kuni daima. Ni vizuri vijana wetu mkafahamu kwamba bila ya elimu hamtaweza kufika kokote,”alisema kiongozi huyo.

Aliwaasa wanafunzi wa kike kusoma kwa bidii ili kuweza kuboresha maisha yao na kuisaidia jamii, huku akitaka wajiepushe vishawishi ambavyo vimekuwa kikwazo katika masomo yao.

“Hata vitabu vitakatifu vya Mungu elimu imepewa umuhimu mkubwa, Biblia inasema mshike sana elimu na usimwache aende zake kwani huko ndiko uliko uzima wenu, kwa wenzetu Waislamu Quran inasema itafuteni elimu kwa bidii hata Uchina, maana ni kwamba itafute elimu hiyo hata kama utaipata mbali kiasi gani,’’ alisisitiza Lowassa.

Akitoa taarifa ya chuo hicho, Kiongozi wa Kanisa la Moravian Tanzania, Askofu Alinikisa Cheyo alisema ujenzi wa hosteli hiyo ulianza 2011 na unatarajiwa kuwa na vyumba 87 vitakavyotoa fursa kwa wanachuo 348.

Alisema katika awamu ya kwanza ya ujenzi huo, kanisa liliomba mkopo kutoka mamlaka ya elimu Tanzania na kukubali kupewa Sh500 milioni na kwamba awamu hiyo iliyoanza Julai 2011, iligharimu Sh580 milioni.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Crispin Meela aliyemwakilisha mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, alisema Serikali inaunga mkono juhudi za sekta binafsi hususan madhehebu ya kidini katika kuchangia elimu.

Alisema kuwa kwa mujibu wa takwimu, madhehu ya dini yanaongoza kwa kuwa vyuo vikuu vingi. Chuo kikuu hicho cha Theofilo Kisanji kilianzishwa 2004, ingawaje kulikuwa na chuo cha Theolojia tangu miaka ya 1960.

My Take:
Mzee (Lowassa) ni kama umegongwa muhuri wa moto wa ''ufisadi'' ikiwemo kuwaficha watanzania juu ya ufisadi wa Richmond, hakika muhuri huo wa moto hautafutika[/QUOTE]
 
Jana

EL ametegeu kitendawili alipokuwa anachangia harambee ya ujenzi wa
hostel kwenye kanisa la moravian mbeya ambapo tulitaka kujua mapesa
anakoyapata anayomwaga kwenye makanisa bila kumung'unya maneno Lowasa
kasema mapesa anapewa na marafiki zake! sasa najiuliza hivi haya mapesa
anayopewa lowasa ayapeleke makanisani yana malengo gani hasa? je hawa
marafiki wa lowasa makanisa yanawajua? je ni akina nani hawa? ni hapa
nchini au nje ya nchi? na mapesa haya yamempatikanaje hasa? na je lowasa amekubaliana nao nini hasa? jamani natumai hapa jamvini kuna great thinkers hebu tusaidiane kwa mstakabali wetu!!
 
Huyu Ritz mhhhhhh, haya bana kama kweli ana huo utajiri basi kwake na iwe laana,,, huyu White Hair nadhani alishachafuka miaka mingi na huo utajiri hata mtoto wa darasa la kwanza ukimuuliza mafisadi wa Tanzania kwa sasa atakutajia Lowassa..
Mbona haya mambo hayaishi? Tunahitaji kufahamu mustakabali wa haya na ukweli wa ufisadi wa hawa jamaa...
 
Jana

EL ametegeu kitendawili alipokuwa anachangia harambee ya ujenzi wa
hostel kwenye kanisa la moravian mbeya ambapo tulitaka kujua mapesa
anakoyapata anayomwaga kwenye makanisa bila kumung'unya maneno Lowasa
kasema mapesa anapewa na marafiki zake! sasa najiuliza hivi haya mapesa
anayopewa lowasa ayapeleke makanisani yana malengo gani hasa? je hawa
marafiki wa lowasa makanisa yanawajua? je ni akina nani hawa? ni hapa
nchini au nje ya nchi? na mapesa haya yamempatikanaje hasa? na je lowasa amekubaliana nao nini hasa? jamani natumai hapa jamvini kuna great thinkers hebu tusaidiane kwa mstakabali wetu!!

Hapo ndo kuna tatizo, ingekua vizur tukaelezwa hao marafiki wanafanya biashara gani isije ikawa wanauza madawa.
 
Masterproud unaongelea TAKUKURU ipi, hii hii ya EDWARD HOSEA? siku wakimchunguza Riz Moja na kumtia hatiani nakunya juu ya meza ya boss wangu nione atanifanya nini?

hahaha. dah. hiyo kali. Nimecheka mpaka basi!
 
mkuu mmiliki wa alpha schools, dry cleaner, na vyote hivyo ni prof. Mayo yuko pale uhandisi mlimani. mkewe alikuwa anafanya TRA zamani. ni contractor wa siku nyingi sana na anamilliki majengo mengi tu kkoo sinza, mikocheni na hata changanyikeni. anafundisha WRE ila ni mmeru ambaye nafikiri anatoka sehem moja ama anaukaribu na sumari, na huyu lowassa.

Unaniangusha gfsonwin jamaa hawajiandikishi wao hao wanawatumia watu kuficha utajiri wao!! Alpha Investment is a big company,Huyo mhandisi anatumiwa tu,nenda CoeT uone walivyo na njaa! Hata riz1 malori yake 100 kamuandikisha Davis Mosha(DELINA Company CEO)
 
Last edited by a moderator:
huyu mzee ngojwa lake lina msubua nilishikana nae mkono juzi mkono wake unatetemeka kama kapigwa shoti ya umeme ajifie tu maana kashaua wengi..

kifo hupangi wewe,angalia usijekuta wewe umekufa umemwacha unaemuombea kifo anadunda
 
Mkuu kwenye tv unawezaje kuuona urais? Hivi urais ni kitu tangible, mi nadhani unaweza kumwona Rais kwenye tv lakini si urais. Usijali lkn hoja yako inaeleweka huyu Baba Pamela Siyoi Sumari alishapoteza sifa za kufikiriwa na watu makini kama anafaa kuwa Rais, watu makini akina Nyerere walishaona Baba Pamela ni kimeo, nashauri awe Rais wa Saccoss, NgO yoyote Kama shida ni kuitana Rais

Hivi kuwapa watu huduma kama Maji, Elimu Bure, Barabara sio kazi za urais zinazoweza kuonekana kwnye TV. Mijitu mingine kujifanya mijuaji. Sasa tunaposema JK urais wake ni Dhaifu, kwani huo udhaifu wake ktk urais hatuuoni kwenye TV katika miradi mbailmbali ya maendeleo, na wizi wa kina Rizwani
 
Mkuu kwa kuongezea tu Ridhwani ana Resorts za kufa mtu kule Morogoro maeneo ya Mzumbe na Bigwa kule milimani,ni investment za billions of money,ameweka na coaster 14 mpya kwenye resort yake ya Chilakale kule Bigwa na Chilakale ya Mzumbe ameweka coaster 8 bado zote hazijaanza kutumika,wanatuona sisi wajinga eti wamempa jamaha wa usalama wa taifa anaitwa Mbena Malumbi ndio ajifanye Chilakale resorts ni mali zake wakati si kweli,mbaya zaidi ujenzi wao una athiri mpaka vyanzo vya maji kwenye milima ya uluguru

hili swala la ujenzi na majengo kama uyoga huko bigwa na chilakale resort nilishawahi kulileta hapa jf wengi walibeza eti ushaihidi waende wakaone wenyewe mpaka kule mlimani na kuna magari ya tours 25 mapya yamepaki huko mlimani. Jina mmbena malumbi ni kiini macho kwa wajinga tuuuu wenyeji wote wa kule wanajua mali ni mwenye nchi na familia yake. Wapi nashera hotel
 
Back
Top Bottom