Ridhiwan, Lowassa waelezea utajiri wao

Huyu ni fisadi tu, kwanza atuambie richmond ni ya nani? na Sh 152milion kama malipo ya kila siku alikuwa anapewa nani?:majani7:

Hapo umesema ni kweli bado anazipokea kutoka Symbionhadi leo na bado ana Alphatel ya Vodacom na ana Share na Intergrated ya wasomali mgawo wake ni 450,000,000/ kwa mwaka ni kipato zaidi ya ule mchango wa M4C walioukusanya ale Dar
Kanifurahisha kijana wa CDM Crashwise alivyomsogelea na kumshika mkono unaotetemeka basi angeutafuta na ule wa shoto angeona km angeutoa maana ..........
Hilo ni GARASA wanalolipenda CHADEMA ili CCM walitoe na wao watoe KING
Bora CHADEMA wamempa Urais wa Tawi huko Monduli maana NEC akiingia January mwaka ujao haingii CC ya kina Mangula
 
Last edited by a moderator:
"Ni kweli hayo magari ni ya huyo bwana mkubwa na yalikuwa 20, lakini 10 yalilipwa ushuru halali"alidai ofisa mmoja wa TRA kituo cha Namanga.

Ridhiwan alisema kuthibitisha kwamba tuhuma hizo ni za uwongo haiwezekani mtu anayetajwa kuwa tajiri kama yeye ashindwe kulipia ushuru wa malori kumi. "Uwongo mwingine huo, kama kweli ningekuwa nina utajiri wote huo, nishindwe kulipia ushuru wa malori kumi tu! Ndo maana nasema ni uwongo tena wa kutunga,"alisema.

Kaimu Meneja wa TRA Arusha, Theresia Mponeja alipulizwa na gazeti hili wiki iliyopita alikanusha kuzuiwa kwa malori hayo na kwamba hakuna taarifa hizo.
Hapo kwenye kijani ndio pana ukweli woteee...

hapo kwenye red Ritz una kiwanda cha uongo pia ndio maana wewe ni fisadi mtoto,kama kweli matajiri wa nchi hii wangekuwa hawakwepi kodi hakika TRA wasingekimbizana na wamachinga barabarani na tungepiga hatua kubwa sana hata Nyerere aliliona hili..

Hapo kwenye black hawa ndio vibaraka wa mafisadi kiasi kwamba wanawafichia taarifa maana wanaweza kung'olewa kwenye mrija wa ufisadi pia...
 
Watanzania hawafaidiki chochote na rasilimali za nchi, bali huliwa na wachache wenye meno Serekalini Wananchi huhashuliwa kwa T-Shart na makwanda ya ccm.


Rasilimali za umma zinawafaidisha vigogo wachache na familia zao huku Watanzania maisha yakiendelea kuwa magumu siku hadi siku.
 
Jamani hivi TAKUKURU hawawezi kweli kuchukua hivi vidhibiti wavifanyie upelezi? Yaani taasisi ya Kupambana na Rushwa ni hadi wapelekewe mtu mkononi ni kwamba hawana taaluma ya uchunguzi kabisa!?
 
Lowasa hao marafiki wana kupa pesa kama nani? kwanini wakupe wewe tu? kama ni kweli malipo yake unayajua? kama Mungu unakujalia unakuwa rais wa nchi hii kwa misaada ya rafiki zako unajua shukrani utakao wapa? wakiomba mikataba ya kitapeli kama Richmond utawanyima? hii nchi imeisha kwisha ina subiri kuzikwa. Lowasa sikujua kama una mapenzi na watanzania kiasi hiki ya kwamba rafiki zako wakikupa pesa kukusaidia wewe unatoa misaada. na kwani nini wema huu umejitokeza kipindi hiki karibia na 2015. Mungu akujalie, kuna siku utarudi kutueleza yaliyo kweli
 
nadhani utajiri huo unaenda ukifilisika watu wanafumbua macho na kutambua tofauti ya kiongozi na mchuma mali
 
Wote waongo hao!! Lowassa ni tajiri wa kutupwa ebu anza tu na Alpha Investiment....1.Alpha House(Ghorofa nne)--Victoria2.Alpha School-Mikocheni Majengo kama mvua pale3.Alpha Arpartments ndio usiseme 4.Share DarVilla(Apartment zaidi ya 100)5.Supermarkets Arusha!!6.Nyumba masaki za kupanga..Riz.one we na wewe usiongee kabisa wewe ni tajiri unamzidi lowassa,kuna ghorofa 6 unajenga karibia na oysterbay police!! Rudisha bil64 za EPA ulizokwapua!! Kuna mjengo wako upo mikocheni tulikuja kufanya usafi siku moja hapo na kampuni ya kukodi yani magari niliyaona humo ndani ni balaaa ila nashukuru ulitupa maziwa ya kunywa!! Tandale una ghorofa ndani umeweka magari ya kifahari tu,umemuweka mpambe wako anasimamia dcm za gongo la moto zipo kama 30 hiv TG&TA,tanzania nzima una majengo mnatumia urais wa baba yenu vibaya yani hadi miraji mvuta bangi ana bonge la hekaru kinyerezi,huyu mvuta bangi alishawahi kumuibia baba yake mark 2!! Iringa riz1 una mashimo ya kuchimbia mawe una ma-crusher ya kukinga,kampuni yako ndio inayopata tenda ya kujenga mji wote wa iringa kwa kusupply mchanga,kokoto,cement nk! Tukirudi kwenye viwanja vya kupima una viwanja zaidi ya 100! Wewe ni tajiri tz nzima,umeweka semi 100 kwa davis mosha,haya tena semi zako 70 zimekamatwa! Una kampuni za kusafirisha mafuta lake oil yako,umefungua oil station(sheli) karibu tz nzima! Forbes inabidi wakuingize kwenye under 40 cash kings umemzidi utajiri hadi mark zurb(mmiliki wa facebook)!!
King Kong III we noma.kwa hizi data hata magufuri mzee wa kushusha data hakuwezi.:glasses-nerdy:
 
  • Thanks
Reactions: PSM
Gonjwa gani tena mkuu!

Kulikuwa na habari kuwa aliwahi kupooza akaenda kuombewa kwa TV joshua sasa juzi nikafanikiwa kushikana nae mkono nikashituka jinsi alivyokuwa anatetemeka..yule mzee siyo mzima akapumzike tu...
 
Lowasa, Rostam na Chenge hawa ni watu wasioweza kutenganishwa. Niambie sasa Lowasa akiwa rais hii nchi hata hizo barabara tulizojenga na madaraja yake yatauzwa. Umeme ndo tusahauu kabisaa maana biashara yao ya majenerator itapamba moto. Wake up guys and say a big NO tu Lowasa jizi lilokubuhu.

Kama unataka kujua baadhi ya utajiri wake ni kwamba anamiliki kampuni ya kufua nguo ya Alpha nchi nzima, anamiliki kampuni ya Alphatel mojawapo wa mawakala wakuu wa VodaCom wasiolipa kodi, anamiliki Hotel huko South Africa, anamiliki kampuni ya Barare na na anashirikiana na Wasomali katika biashara zisizojulikana, anamiliki kampuni ya Tours na ana Lodge maalum kwa watalii huko Arusha na ana miliki majumba kadhaa jijini DAR na Arusha, n.k n.k. J

e huu si utajiri wa kutisha?
ulichoandika ndio data za utajiri wa EL, sijaona kosa hapo,maeneo kama anashirikiana na wasomali ktk biashara zisizojulikana sasa wewe si umezijua , tujulishe au ni zile hisia zenye kuongozwa na kutompenda hivyo paka matope, kwangu ni mchapakazi aliyetumia vzr fursa zake za kisiasa kujitajirisha.na natoa wito kwa wanasiasa wote acheni wivu,anasa na matendo ya kishirikina fursa mliyonayo mkiwa waaminifu na wakweli kila mtu ambaye ni mwekezaji wa ndani au nje atapenda kufanya kazi na ww hapo ndipo utakapotoka na maisha.
 
Wote waongo hao!! Lowassa ni tajiri wa kutupwa ebu anza tu na Alpha Investiment....1.Alpha House(Ghorofa nne)--Victoria
2.Alpha School-Mikocheni Majengo kama mvua pale
3.Alpha Arpartments ndio usiseme
4.Share DarVilla(Apartment zaidi ya 100)
5.Supermarkets Arusha!!
6.Nyumba masaki za kupanga.

.Riz.one we na wewe usiongee kabisa wewe ni tajiri unamzidi lowassa,kuna ghorofa 6 unajenga karibia na oysterbay police!! Rudisha bil64 za EPA ulizokwapua!! Kuna mjengo wako upo mikocheni tulikuja kufanya usafi siku moja hapo na kampuni ya kukodi yani magari niliyaona humo ndani ni balaaa ila nashukuru ulitupa maziwa ya kunywa!! Tandale una ghorofa ndani umeweka magari ya kifahari tu,umemuweka mpambe wako anasimamia dcm za gongo la moto zipo kama 30 hiv TG&TA,tanzania nzima una majengo mnatumia urais wa baba yenu vibaya yani hadi miraji mvuta bangi ana bonge la hekaru kinyerezi,huyu mvuta bangi alishawahi kumuibia baba yake mark 2!! Iringa riz1 una mashimo ya kuchimbia mawe una ma-crusher ya kukinga,kampuni yako ndio inayopata tenda ya kujenga mji wote wa iringa kwa kusupply mchanga,kokoto,cement nk! Tukirudi kwenye viwanja vya kupima una viwanja zaidi ya 100! Wewe ni tajiri tz nzima,umeweka semi 100 kwa davis mosha,haya tena semi zako 70 zimekamatwa! Una kampuni za kusafirisha mafuta lake oil yako,umefungua oil station(sheli) karibu tz nzima! Forbes inabidi wakuingize kwenye under 40 cash kings umemzidi utajiri hadi mark zurb(mmiliki wa facebook)!!

Mkuu kwa kuongezea tu Ridhwani ana Resorts za kufa mtu kule Morogoro maeneo ya Mzumbe na Bigwa kule milimani,ni investment za billions of money,ameweka na coaster 14 mpya kwenye resort yake ya Chilakale kule Bigwa na Chilakale ya Mzumbe ameweka coaster 8 bado zote hazijaanza kutumika,wanatuona sisi wajinga eti wamempa jamaha wa usalama wa taifa anaitwa Mbena Malumbi ndio ajifanye Chilakale resorts ni mali zake wakati si kweli,mbaya zaidi ujenzi wao una athiri mpaka vyanzo vya maji kwenye milima ya uluguru
 
Kama watanzania hatujawahi kulia basi tuendelee kuwa na hawa CCM, maana na wao wameisha tuona kama majuha pamoja na vituko vyote wanavyotufanyia, utasikia huyu ndiye rais. jamaa wana tucheka kweli kweli. bila kuitoa CCM madarakani tuna poteza muda wetu, na hizi pesa anazo zitoa huyu bwana unafikili yeye haziitaji. akipata urais ndiyo tutajua yeye ni nani tutalia na kusaga meno lakini mambo ndiyo yatakuwa yameisha kwisha,
 
mimi ninaamini kuna watanzania wana hela zaidi ya bakhresa sema sio za kihalali...bakhera hela yake ni ya kihalali na inajulikana kaitoa wapi ila kuna waafrika wengi wana pesa zaidi yake sema ndio hivi pesa sio halali ni za uwizi....
 
Wote waongo hao!! Lowassa ni tajiri wa kutupwa ebu anza tu na Alpha Investiment....1.Alpha House(Ghorofa nne)--Victoria
2.Alpha School-Mikocheni Majengo kama mvua pale
3.Alpha Arpartments ndio usiseme
4.Share DarVilla(Apartment zaidi ya 100)
5.Supermarkets Arusha!!
6.Nyumba masaki za kupanga.

.Riz.one we na wewe usiongee kabisa wewe ni tajiri unamzidi lowassa,kuna ghorofa 6 unajenga karibia na oysterbay police!! Rudisha bil64 za EPA ulizokwapua!! Kuna mjengo wako upo mikocheni tulikuja kufanya usafi siku moja hapo na kampuni ya kukodi yani magari niliyaona humo ndani ni balaaa ila nashukuru ulitupa maziwa ya kunywa!! Tandale una ghorofa ndani umeweka magari ya kifahari tu,umemuweka mpambe wako anasimamia dcm za gongo la moto zipo kama 30 hiv TG&TA,tanzania nzima una majengo mnatumia urais wa baba yenu vibaya yani hadi miraji mvuta bangi ana bonge la hekaru kinyerezi,huyu mvuta bangi alishawahi kumuibia baba yake mark 2!! Iringa riz1 una mashimo ya kuchimbia mawe una ma-crusher ya kukinga,kampuni yako ndio inayopata tenda ya kujenga mji wote wa iringa kwa kusupply mchanga,kokoto,cement nk! Tukirudi kwenye viwanja vya kupima una viwanja zaidi ya 100! Wewe ni tajiri tz nzima,umeweka semi 100 kwa davis mosha,haya tena semi zako 70 zimekamatwa! Una kampuni za kusafirisha mafuta lake oil yako,umefungua oil station(sheli) karibu tz nzima! Forbes inabidi wakuingize kwenye under 40 cash kings umemzidi utajiri hadi mark zurb(mmiliki wa facebook)!!

ccm hawakosei kuwa hii nchi ina wenyewe, na wenyewe ni ccm.
 
RIZ. majibu uliyotoa hayaendani na swali ungejibu nini wanachokutuhumu nacho malori ,ungeeleza yako mangapi na umeyapataje ,mahoteli n.k .tuliosoma wote bado tuko kijiweni hakijaeleweka bado wewe mwenzetu una ukwasi mashaalah.Mh.amejibu kwa kukebehi kuwa hajafilisika watu wana shauku uwaambie chanzo cha utajiri wako pamoja na kuwa kwenye system kwa muda mrefu .wape mishahara yako ,posho ,na mengine .pili kuna mtaa mmoja pale uk wa matajiri tu unafanikiwa kuwa na nyumba pale ,hujasema kwanini usijenge hiyo nyumba pale umasaini wamasai wenzio wakapata ajira ,serikali ikapata kodi ...naunga mkono waliowekeza kwenye nchi zao.
 
Hata hivyo, sikutegemea watasema zaidi ya hayo kwa sababu hawa ni watu wa ccm na siku zote ccm haina ukweli!
 
Mkuu kwa kuongezea tu Ridhwani ana Resorts za kufa mtu kule Morogoro maeneo ya Mzumbe na Bigwa kule milimani,ni investment za billions of money,ameweka na coaster 14 mpya kwenye resort yake ya Chilakale kule Bigwa na Chilakale ya Mzumbe ameweka coaster 8 bado zote hazijaanza kutumika,wanatuona sisi wajinga eti wamempa jamaha wa usalama wa taifa anaitwa Mbena Malumbi ndio ajifanye Chilakale resorts ni mali zake wakati si kweli,mbaya zaidi ujenzi wao una athiri mpaka vyanzo vya maji kwenye milima ya uluguru

....umesahau ile yard ya magari kule karibu na chuo cha presbyterian,, na ule mgogoro wa ardhi uliopo kati yake na taasisi ya UN kuhusu kuharibu mazingira mlimani
 
Unaidhalikisha Yanga, sema Rais wa Saccoss huko Monduli chini. Au Rais wa Vikoba japo itabidi asiwe na mamlaka ya kuidhnisha matumizi (manunuzi) vinginevyo itakuwa Richmond nyingine a.k.a Richmonduli.

Inawezekana kweli ndiye Rais ajaye kwa kuwa wabongo tumezoea rushwa mtu akipewa 5,000 au tisheti au kanga au pilau au akipewa ofa ya pombe basi anamuona yule aliyefanya hivyo ni wa maana sana kuliko yule ambaye hajatoa kitu sasa kwa kuwa el anapesa na anaweza kufanya hayo na watanzania tuko hivyo basi urais ni wake. Japo kweli el amechafuka kutokana na kashfa ya richmoond lakini leo ndiye anayeongoza kualikwa kwenye makanisa wanapofanya harambee sasa kama hata watu wa mungu wamepotoka wanaangalia pesa tu bila kujali imetoka wapi na ni nani anayeitoa unafikiri nini kitafuata? si hata uongozi utanunuliwa. Na hao anaosema ni marafiki zake kama kweli wanampa hizo pesa anazotoa makanisani mara kwa mara ambazo ni nyingi kati ya 10 Milllion na 25 Million unafikiri ni nini wanakitafuta bila shaka wanamalengo yao moja ya malengo hayo ni kujenga taswira miongoni mwa wanajamii kuwa wao ni watu wema na wenye moyo wa huruma na kujitolea lakini wakishaikamata nchi nini kitaendelea? Tutafakari kwa makini
 
ccm hawakosei kuwa hii nchi ina wenyewe, na wenyewe ni ccm.

Waangalie wasije wakaikimbia hiyo nchi wanayosema ina wenyewe,wajifunze toka kwa wenzao waliokua watawala wenye nguvu na wakuogopewa na wananchi wao,mwisho wa siku wameishia kwenye fedhea magerezani au kukimbia nchi zao
 
Back
Top Bottom