Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,888
Hakika huyu ndiye Rais ajaye
Radhia, mi ninachokupendea ni sura yako na hilo pozi lako hapo Baracuda Beach basi, ila pointi zako ndio duu, nguvu hua zinaniishia kabisa, nahisi unatoka familia ya kifisadi hivi, nikileta posa baadae naweza kutolewa kafara bure, maanake wote huko magamba nasikia kama ni member wa ile dini Freemason!