huyo Membe mumeo unayempigia debe ndio kimeo,ukiwezeshwa tu na hao mabwana zako unabaki kutokwa na povu hovyo,tunahitaj kiongozi mchapa kazi tumechoka na sanaa za bongo,hatutaki wanafiki na wapiga ramli,jk hakuna la mana zaidi ya sanaa,7 yrs Membe aliyokaa foreign affairs kafanya nini cha watz kumkumbuka?
Waziri Mkuu aliyejiuzuru
Mh.Edward Lowasa ameendelea kutapatapa katika medani za siasa. Safari
hii amejitetea kuwa hana utajiri wa kutisha kama maadui wake
wanavyomchafua, badala yake ana utajiri wa ''kutisha'' wa watu wenye
mapenzi nae
Source: Tanzania Daima
My Take: Mzee ni kama umegongwa muhuri wa moto wa ''ufisadi'' ikiwemo
kuwaficha watanzania juu ya ufisadi wa Richmond, hakika muhuri huo wa
moto hautafutika
hapa ndipo tatizo
lilipo .tunapenda kujadili hisia zetu na kutoa majibu, mh EL kasema hana
utajiri wa fedha , anautajiri wa watu . nakumbuka hata mzee IDD SIMBA,
aliwahi kuitwa tajiri mkubwa yeye ktk mahojiano alisema hakuna tajiri
Tanzania, kwa kuwa umezungukwa na masikini, wewe unakipato kidogo
unaonekana tajiri, amesema anautajiri wa watu si fedha , mpinge kwa hoja
na data. usiongozwe na hisia, eti hawezi kuzungumza ,mh nchi hii
inawatu kweli na ndo maana khanga zinavaliwa kwa wingi ,nadhani kwa wale
wanaopenda rais muongeaji ni nafasi ya wazi kuongozwa na MRISHO
MPOTO,
Hakika huyu ndiye Rais ajaye
huyo Membe mumeo unayempigia debe ndio kimeo,ukiwezeshwa tu na hao mabwana zako unabaki kutokwa na povu hovyo,tunahitaj kiongozi mchapa kazi tumechoka na sanaa za bongo,hatutaki wanafiki na wapiga ramli,jk hakuna la mana zaidi ya sanaa,7 yrs Membe aliyokaa foreign affairs kafanya nini cha watz kumkumbuka?
hapa ndipo tatizo lilipo .tunapenda kujadili hisia zetu na kutoa majibu, mh EL kasema hana utajiri wa fedha , anautajiri wa watu . nakumbuka hata mzee IDD SIMBA, aliwahi kuitwa tajiri mkubwa yeye ktk mahojiano alisema hakuna tajiri Tanzania, kwa kuwa umezungukwa na masikini, wewe unakipato kidogo unaonekana tajiri, amesema anautajiri wa watu si fedha , mpinge kwa hoja na data. usiongozwe na hisia, eti hawezi kuzungumza ,mh nchi hii inawatu kweli na ndo maana khanga zinavaliwa kwa wingi ,nadhani kwa wale wanaopenda rais muongeaji ni nafasi ya wazi kuongozwa na MRISHO MPOTO,