Lowassa hawezi kuwa rais,na ikitokea hivyo atkuwa amefanikiwa kufisadi kichwa cha kila mtu.
Tuacheni unafiki,Lowassa ana sifa gani ya kuwa rais?ana tofauti gani na Mulugo,Nape na Mshua?Atakuwa na jipya gani?
Hata mwizi huiba na kukataa kuwa hajaiba kwa kuonesha hadi sura ya huruma,sembuse kubwa la mafisadi?
Kama yeye si fisadi kwanini alikimbia uwaziri mkuu?Nonsense!!!
Ridhiwani mnamuonea yeye siyo fisadi hata kidogo. anayemchafua Ridhiwani ni January, yeye ndo anayetangaza propaganda zake za chinichini dhidi ya Ridhiwani...
We kuz kwel mtu kakamatwa na madawa ya kulevya kule china baba yake akawahonga wachina GESI bado unasema c o fisadi kama umetumwa kutetea mafisadi mwisho wenu unakuja
Mtampiga mawe, mtamchana sana,mtampinga saana lakini huyu Lowasa ni kiongozi huwezi kulinganisha na hawa tunaowaona! mna macho lkn hamtaona, mna masikio lkn hamtasikia, itatuchukua muda saana kujua kwamba huyu anafaa, ipo siku mtajua!!!
nani kasema katika TZ kuna mafisadi wenye utajiri usio na maelezo? maana kila kiongozi anajisafisha na kujifanya msafi! wangekuwa safi kihivyo wangemuenzi Baba wa Taifa kwa kurejesha Azimio la Arusha! wanafiki watupu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.