Ridhiwan, Lowassa waelezea utajiri wao

Ridhiwan, Lowassa waelezea utajiri wao

huyo Membe mumeo unayempigia debe ndio kimeo,ukiwezeshwa tu na hao mabwana zako unabaki kutokwa na povu hovyo,tunahitaj kiongozi mchapa kazi tumechoka na sanaa za bongo,hatutaki wanafiki na wapiga ramli,jk hakuna la mana zaidi ya sanaa,7 yrs Membe aliyokaa foreign affairs kafanya nini cha watz kumkumbuka?
,
Hivi nyie magamba ,hamjui ni kwa nini Lowasa alikimbia kundi la kifo?na Membe akaingia kundi la kifo?akampita aliyekuwa katibu mkuu kwa kura? Lowasa ananuka mithili ya kinyesi,hasafishiki,nachukia CCM,lakini ukiwapangaMzee wa Rondo Mjomba Membe na Lowassa,Membe ni mtu makini,akiwekwa kuwa mgombea wa CCM ndio kidogo sana,anaweza kusimama na Rais alioko kwenye mioyo ya watu,Yaani DR WILBROAD PETER SLAA,PEOPLES.............................................POWER........
 
EL ni fisadi papa! maswahiba wake ni Andrew chenge na Rostam aziz! hafai kuwa rais,kwanza atueleze kuhusu kampuni hewa ya Richmonduli!mwalimu nyerere alisema tumuogope kama ukoma! 1995 alikuwa na utajiri wa kutisha! ikulu anaenda kufanya biashara gani??
 
Nimeona Riz1 akimtaja Bakhresa kama ndie tajiri mkubwa hapa TZ mbona kwenye walipa kodi 10 wakubwa hayupo kwenye au TRA imemsahau yeye kumweka kwenye hiyo orodha.
 
Wametunwa na kikwete wakajisafishe,
Ila mimi hawezi kuniongopea nimesha mshuhudia mara nyingi Manyoni Afro Oil petrostation akija kukagua ujenzi, huwa hashuki kwenye Vogue anashusha kioo tu.
 
huyo Membe mumeo unayempigia debe ndio kimeo,ukiwezeshwa tu na hao mabwana zako unabaki kutokwa na povu hovyo,tunahitaj kiongozi mchapa kazi tumechoka na sanaa za bongo,hatutaki wanafiki na wapiga ramli,jk hakuna la mana zaidi ya sanaa,7 yrs Membe aliyokaa foreign affairs kafanya nini cha watz kumkumbuka?
Amefanikisha ziara nyingi za JK nje. Nje kutamu na yeye anataka sasa. as...les😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:😛lane:
JK JK JK JK JK sasa MIMI[m..be]
 
Anaweza kuwa Rais kupitia wengine,lakini kura yangu kamwe haitachangia ushindi wa mwanaccm!
 
ndege ndio inaanza kutafuta kasi,na ni upepo tu upande wa pili ndio utaipaisha angani tayari kwa safari ndefu ya kuutokomeza ule unaosemekana uduni wa maisha kwa mtanzania.
 
EL ni fisadi papa! maswahiba wake ni Andrew chenge na Rostam aziz! hafai kuwa rais,kwanza atueleze kuhusu kampuni hewa ya Richmonduli!mwalimu nyerere alisema tumuogope kama ukoma! 1995 alikuwa na utajiri wa kutisha! ikulu anaenda kufanya biashara gani??


Mwl. Nyerere tusimfanye kama reference ya kila kitu kwa sasa kwani dunia ya leo iko kibepari zaidi na si kijamaa kama enzi ile,cha msingi hapa ni kupambana na ubepari ikiwezekana tuweze kuwa na mabepari wadogox2 ambao wanaweza kutengeneza ajira za kutosha kwa watu wetu.Ni bora kuwa na raisi ambaye alikuwa mjamaa,akapata mali zake kupitia ujamaa na kuzizalisha kibepari na kutoa ajira kijamaa kuliko kuwa na raisi ambaye alikuwa mjamaa na sasa hana mali hivyo kumpatia uraisi wakati huu wa kibepari ni lazima atakuwa bepari mbaya sana.
Hoja yangu hasa si tu kumwita ndg.EL FISADI bali ebu tumuangalie kwa upande wa pili unaoonekana kwa macho kuliko kumtuhumu kwa vitu ambavyo havionekani na hata vikionekana wakuvitetea hayupo.
 
Ridhiwani mnamuonea yeye siyo fisadi hata kidogo. anayemchafua Ridhiwani ni January, yeye ndo anayetangaza propaganda zake za chinichini dhidi ya Ridhiwani...
 
mkuu mmiliki wa alpha schools, dry cleaner, na vyote hivyo ni prof. Mayo yuko pale uhandisi mlimani. mkewe alikuwa anafanya TRA zamani. ni contractor wa siku nyingi sana na anamilliki majengo mengi tu kkoo sinza, mikocheni na hata changanyikeni. anafundisha WRE ila ni mmeru ambaye nafikiri anatoka sehem moja ama anaukaribu na sumari, na huyu lowassa.
Hujui wanavyofanya hawa mafisadi mara nyingi huwa hawaweki majina yao wanatafuta kanya boya ili wajinga muamini kuwa ni ya furani kumbeni ya Lowasa mfano fatilia Yana na MONABAN utaona Lowasa alivyofisadi na anavyojua kujificha...
 
Katika CCM kwa sasa na msingi wa siasa zao, hakuna kama Lowasa. Huyu ndie mgombea wao 2015. Namwombea afya njema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom