Ridhiwan Kikwete amevunja sheria ya uchaguzi na katiba ya CCM

Jason Bourne kijana mzandiki
-mfitini
-muongo
-mzushi
eti anajifanyaga yupo karibu sana na IKULU
nadhani huyu jamaa atakuwa ndo yule YAHYA anayetafutwa na dada mkuu LADY JAYDEE
 
Mkuu ccm ni waoga, kwa maccm Kikwete ni Mungu, hivyo wao kumkataa Ridhiwani ni kumkataa mwana wa Mungu wao
 
Jason Bourne kijana mzandiki
-mfitini
-muongo
-mzushi
eti anajifanyaga yupo karibu sana na IKULU
nadhani huyu jamaa atakuwa ndo yule YAHYA anayetafutwa na dada mkuu LADY JAYDEE

Jadili mada kwa hoja, achana na kumjadili mtoa hoja
 
Juzi nilimshauri awe na subira chama chake kupitia sekretarieti ama kamati kuu imuidhinishe kwanza ndio akachukue fomu kule Chalinze,

Akakaidi, akaenda kuchukua fomu bila ridhaa ya chama chake, kibaya zaidi sheria ya tume ya uchaguzi inamtaka mgombea awe na barua yakutambulishwa na chama chake, lakini huyu hakuwa nayo zaidi ya mgongo wa rais,

Ifahamike kuwa jk hakutaka kijana huyu agombee ubunge maana ana uchafu mwingi ambao utaanza kuibuliwa na upinzani lakini yeye akakomaa kwa kuwa anataka awe mbunge kabla baba yake hajaondoka madarakani.

Mpaka sasa hakuna msemaji wa chama kuthibitisha kuwa amepitishwa na NEC, bali kawaziba midomo kwa kutumia nafasi ya baba yake ameamua kujitangaza mwenyewe.

Jk amekerwa sana na hali hii, huenda akasimamia mwanae ashindwe, ama kutumia mwanya wa kosa hili ili tume imuondoe,

Chadema kazi kwenu wekeni pingamizi ikibidi,

Kama JK hakutaka agombee kwa nini hakuwapa hint cc wasimpitishe?Vinginevyo sidhani kama kuna ukweli kuwa Mwenyekiti wetu alikuwa hataki agombee!:thinking:
 
Yaani huyu riziwani muuza unga na dhulumati wa mali za uda pamoja wizi na uchafu wowote alionao ni nani alimshauri agombee ubunge kama sio kutaka kumuua kwa presha baba yake na kifafa chake?
 
Mimi nimefurahishwa na uamuzi wake kugombea... sasa tutamjua vizuri. By the way... inasemekana marafiki wengi wa huyu jamaa ambao wamepata utajiri wa haraka kupitia mgongo wake wameanza kutafuta makazi uarabuni. Yote haya na mengine tutayasikia kwenye kampeni...
LAKE OIL na DAVIDS MOSHA HOME SHOPPING CENTRE TSN SUPERMARKET
 
Kinacho nishangaza mpaka sasa hata wale wabwabwaji wakubwa kwenye chama wameshindwa kusema japo kauli fupi tu kuwa "...CC ya chama chetu imemteua mtoto wa raisi kuwa mgombea ubunge wa Chalinze"

Mbona hawako hivi kwenye wagombea wengine?! Imekuwaje leo wawe kimya kiasi cha kumuacha Riz1 ajisemee mwenyewe?! Kunani?
 
Juzi nilimshauri awe na subira chama chake kupitia sekretarieti ama kamati kuu imuidhinishe kwanza ndio akachukue fomu kule Chalinze,

Akakaidi, akaenda kuchukua fomu bila ridhaa ya chama chake, kibaya zaidi sheria ya tume ya uchaguzi inamtaka mgombea awe na barua yakutambulishwa na chama chake, lakini huyu hakuwa nayo zaidi ya mgongo wa rais,

Ifahamike kuwa jk hakutaka kijana huyu agombee ubunge maana ana uchafu mwingi ambao utaanza kuibuliwa na upinzani lakini yeye akakomaa kwa kuwa anataka awe mbunge kabla baba yake hajaondoka madarakani.

Mpaka sasa hakuna msemaji wa chama kuthibitisha kuwa amepitishwa na NEC, bali kawaziba midomo kwa kutumia nafasi ya baba yake ameamua kujitangaza mwenyewe.

Jk amekerwa sana na hali hii, huenda akasimamia mwanae ashindwe, ama kutumia mwanya wa kosa hili ili tume imuondoe,

Chadema kazi kwenu wekeni pingamizi ikibidi,

Tatizo unaweka mbele chuki na huba,bila barua ya chama,huwezi kupata fomu,halafu unadhani ccm na uzoefu wake wote inaweza kufanya makosa ya kitoto kama hayo,unakumbuka njelu kasaka alikwenda na barua ya uteuzi kutoka cuf mkoani,akaambiwa arudi akalete ya cuf wilaya ya chunya,ofisi ya cuf haipo,mpaka anampata katibu na mihuri nyumbani kwake,muda wa kurudisha ukawa umeisha ccm wakapeta
 
Kinacho nishangaza mpaka sasa hata wale wabwabwaji wakubwa kwenye chama wameshindwa kusema japo kauli fupi tu kuwa "...CC ya chama chetu imemteua mtoto wa raisi kuwa mgombea ubunge wa Chalinze"

Mbona hawako hivi kwenye wagombea wengine?! Imekuwaje leo wawe kimya kiasi cha kumuacha Riz1 ajisemee mwenyewe?! Kunani?

Ccm haipo salama mkuu! kila mtu kivyake!
 
Jamani huyu Jamaa Ridhiwani muacheni, mnavyozidi kumsema ndivyo mnavyozidi kumpaisha bure bila sababu, Dawa pekee ni kusubiri uchaguzi tu.
 
Pale unapokuja na stories za kuigawa jamii na uzandiki, hatutasita kukukumbusha nyendo zako za nyuma.

Wewe ni mtu unayefaa kupuuzwa kwa kuiwewesesha jamii kwa utapeli and made up stories zikichagizwa na uzandiki hasa hapa Jf. Kwa sasa umeamua kuja kwa njia nyingine.

Tapeli unayekwenda mitaani kwa jina Yericko Nyerere ili kuudanganya ulimwengu kuwa wewe ni mtoto wa Mwl. Nyerere na hata wananchi wakikuuliza huwa unasema Mwl. Nyerere ni baba yako mzazi wakati Baba yako anaitwa Yohanes Msambila.

Umewatapeli sana wana Jf kwa kujiita Jason Bourne unayefanya kazi Ikulu wakati kazi yako ni fundi umeme mitaani.

Umewadanganya wanaJf kwa kuleta habari za kutunga na kizandiki kuhusu wanasiasa mbali mbali na viongozi waandamizi wa serikali na Rais wa nchi.

Kwa utapeli wako uliwambia wanaJf hivi,
Umekosea sana.
Marealle hakupata kuifadhili TANU.
Chief Marealle na Nyerere hawakuwa na mkabala mwema baina yao.
Soma kijana soma. Utaerevuka.
Punguza kujua.
Nielewe mkuu, nimesema alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere sio TANU.
Ndugu sio kila kitu utakifahamu katika historia ya nchi hii,
Mimi Mwalimu Nyerere kama Baba yangu mzazi, nakufahamisha tangu sasa kuwa Chifu Marealle alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere (kiuchumi)

Alimnunulia gari, suti, na nauli alimpa ya kwenda umoja wa mataifa.
Si kila kitu kitawekwa katika simulizi.
Hii hapa chin ndiyo ilikuwa thread yako.
Mtoto wa Mwl. Nyerere alipoona unatumia jina la baba yake kutapeli alikuambia hivi,
Nilikuwa naongea na Joseph Butiku sasa hivi,na Mama Maria. Nimewauliza kuhusu huyu Yericko Nyerere. Hawamfahamu. Butiku amesema,watu wanajipa majina wanavyopenda; Adam Marwa ana mtoto wake mmoja tu,anaitwa Lumumba. Mimi[Butiku],mtoto wangu anaitwa Kaunda. Magige Nyerere ana mtoto anaitwa Moringe. Halafu Mama Maria akasema,Rose Nyerere ana mtoto anaitwa Luis Rwagasore,Mfalem wa Rwanda.
Kwa hiyo Butiku amesema huyu kijana kama angekuwa na namba ya simu,ningeweza kumtafuta,ili aweze kujieleza.
Katika thread hii,

Juzi nilimshauri awe na subira chama chake kupitia sekretarieti ama kamati kuu imuidhinishe kwanza ndio akachukue fomu kule Chalinze,

Akakaidi, akaenda kuchukua fomu bila ridhaa ya chama chake, kibaya zaidi sheria ya tume ya uchaguzi inamtaka mgombea awe na barua yakutambulishwa na chama chake, lakini huyu hakuwa nayo zaidi ya mgongo wa rais,

Ifahamike kuwa jk hakutaka kijana huyu agombee ubunge maana ana uchafu mwingi ambao utaanza kuibuliwa na upinzani lakini yeye akakomaa kwa kuwa anataka awe mbunge kabla baba yake hajaondoka madarakani.

Mpaka sasa hakuna msemaji wa chama kuthibitisha kuwa amepitishwa na NEC, bali kawaziba midomo kwa kutumia nafasi ya baba yake ameamua kujitangaza mwenyewe.

Jk amekerwa sana na hali hii, huenda akasimamia mwanae ashindwe, ama kutumia mwanya wa kosa hili ili tume imuondoe,

Chadema kazi kwenu wekeni pingamizi ikibidi,
 
kwa kweli kama MODS wataendelea kumuacha huyu jamaa atakuwa tapeli mkubwa sana na kiukweli hata mimi nashindwa kuwatofautisha Jason Bourne na huyu kuwadi Yericko Nyerere kama mtu utakuwa na akili timamu unaweza kutambua hawa jamaa wanafanana kwa zaidi ya asilimia 90 ktk
maandishi yao,
UZUSHI WAO
UZANDIKI WAO
UONGO WAO
hivo basi akiachwa huyu jamaa atakuja kuleta hata machafuko kwa sababu za uchochezi na kujifanya anajua siri nyingi sana na ikulu na za usalama wa taifa. NATOA WITO KWA TISS KUMFUATILIA HUYU JAMAA NA KUMCHUKULIA HATUA KALI KWANI ANAIABISHA IDARA HIYO KWA STORY ZAKE ZA KIZUSHI KWA MADAI YA KUA ANA VYANZO VYA KUAMINIKA VYA TAARIFA TOKA NDANI YA IDARA HIYO NA IKULU..sidhani kwa fundi umeme kama huyu anaweza kuwa na vyanzo vya habari ndani ya ofisi nyeti za taifa TISS NA IKULU
MODS endeleeni kulifanyia kazi hili suala na kufuatila pia post za huyu jamaa zitakuja kuleta machafuko siku moja while ni za kutungwa kwa sababu zao maalumu na wanaomtumia

naomba kuwasilisha
 
Vijana walioko magerezani huko China na Honkong si walitaja jina lake kuwa anawatuma kama punda kupeleka madawa ya kulevya??
Chalinze jiandae kuchagua mbunge muuza unga!!
 
MwanaDiwani kwa vile unatunza data kwenye files zako, tuwekee majina ya mabos wa unga bila kmsahau Riz, waliobebesha vijana unga (madawa) kupeleka Asia hasa China!!
Wengine wamenyongwa, Serikali yako ya MaCCM imechukua hatua gani???
Usipotezee ujibu Pls!!
 
Last edited by a moderator:
ni sheria namba ngapi imevunjwa hapa siye wengine siyo wataalam
Nilitegemea utauliza "Ni sheria gani imevunjwa?" badala ya "Ni sheria namba ngapi imevunjwa?". Ukipewa jibu la namba ya sheria, litakusaidiaje mtu ambaye umekiri kuwa sio mtaalamu wa sheria?
 
Jason Bourne kijana mzandiki
-mfitini
-muongo
-mzushi
eti anajifanyaga yupo karibu sana na IKULU
nadhani huyu jamaa atakuwa ndo yule YAHYA anayetafutwa na dada mkuu LADY JAYDEE

Na wewe Jaydee tang lini kawa dada yako?
 
Juzi nilimshauri awe na subira chama chake kupitia sekretarieti ama kamati kuu imuidhinishe kwanza ndio akachukue fomu kule Chalinze,

Akakaidi, akaenda kuchukua fomu bila ridhaa ya chama chake, kibaya zaidi sheria ya tume ya uchaguzi inamtaka mgombea awe na barua yakutambulishwa na chama chake, lakini huyu hakuwa nayo zaidi ya mgongo wa rais,

Ifahamike kuwa jk hakutaka kijana huyu agombee ubunge maana ana uchafu mwingi ambao utaanza kuibuliwa na upinzani lakini yeye akakomaa kwa kuwa anataka awe mbunge kabla baba yake hajaondoka madarakani.

Mpaka sasa hakuna msemaji wa chama kuthibitisha kuwa amepitishwa na NEC, bali kawaziba midomo kwa kutumia nafasi ya baba yake ameamua kujitangaza mwenyewe.

Jk amekerwa sana na hali hii, huenda akasimamia mwanae ashindwe, ama kutumia mwanya wa kosa hili ili tume imuondoe,

Chadema kazi kwenu wekeni pingamizi ikibidi,

Wewe kama nani ndani ya CCM?

cc. Yericko Nyerere
 
Back
Top Bottom