Hapo kwenye red Kumbuka hapa tupo tanzania na haya yanafanyika Tanzania na tunaongelea ya Tanzania. Kwani Tz ni USA?Kwani mtoto wa rais hadeserve usalama wa nchi? Nini maana ya kuwa first family? JF siku hizi imejaa watoto na watu wenye wivu tu. Kama mtoto wa rais anatakiwa apate ulinzi wa serikali ili kumlinda na hatari yeyote. Vilevile wanatengewa budget yao maalum kufanikisha usalama wao including gari za kuendeshwa, askari wa kuwalinda, security escort na kadhalika.[/PHP][/HTML]na watoto wake walivyokuwa wakiwasumbua usalama wa taifa wa marekani??HTML:[PHP][HTML][I]:roll::roll:[COLOR="#ff0000"][/COLOR][/I]
Ridhwan hajavunja kipengele chochote lakini aliyeidhinisha hayo magari kavunja!
[/QUOTE
]
Kwani kabla ya hapa alikuwa analindwa je, au monekano wake akiwa mataani na barabara ktk shughuli zake za kila siku alilindwa je? Na uliza hii maana yake huyu aliye tuhabarisha haya haja tuambia. Jana kwenye mtandao wa Al- jazeera walisema siku chache zilizo pita mtoto wa mubaraka wa misri alionekana airport na ulinzi mkali usio wa kawaida ukilinda msafara magari sedan 10 yalio jaa mizigo ambayo baadaye ilipakiwa kwenye ndege tatu na akaondoka, ina semeka kuelekea Uk. Sasa kwa msafara huu ambao umeleta mjadala hapa huwezi jua kilichokuwa kinafanyika. Kukurupuka na kuanza kulaumu watu ambao wana fanyakazi zao kwa uaminifu mnawaonea bure. Hapa TZ sina hakika kama tuna utaratibu wa kutangaziwa threat level iko vipi at any time t.
Wakati wa kampeni, baba alimtuma mwana ...sasa baba anamlipa mwana kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kuksanya wadhamini...
Ubia wa Urais! Ingawaje mkulu alisema urais wake hauna ubia.
Baba Rais, watoto wanapewa ulinzi kwa usalama wao...hayo hufanywa katika nchi za wenzetu sijui sisi huwa tuna mfumo upi.
Wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA), zinasema kuwa kijana, mtoto wa mkulu, Ridhiwan, kaonekana uwanjani hapo, ikisemwa kuwa ana safari yake binafsi, kwenda Dubai.
Nachelea kulia. Naomba nijikaze kiume, kijasiri ili niweze kulisema hili, naomba niwezeshwe, maana sasa nchi inakoelekezwa, aaaagh, basi wahenga na Mungu wanajua...KAPELEKWA UWANJA WA NDEGE NA ESCORT AKIWA KATIKA GARI YA IKULU, lenye ngao na polls mbili lakini HALIKUWA NA BENDERA. Mbele kulikuwa na gari ya escort ya king'ora na nyuma gari ya usalama, so the source said.
Kuna mengine tutayaongeza. Kuna kazi nafanya mara moja wakuu, just kuanzia hiyo. INASKITISHA JAMA, THIS IS EXTREMEEEEEEEEE
You must be crazy You want to compare Riz1 with Chelsea?
Ridhwan hajavunja kipengele chochote lakini aliyeidhinisha hayo magari kavunja!
[/QUOTE]
Kwani kabla ya hapa alikuwa analindwa je, au monekano wake akiwa mataani na barabara ktk shughuli zake za kila siku alilindwa je? Na uliza hii maana yake huyu aliye tuhabarisha haya haja tuambia. Jana kwenye mtandao wa Al- jazeera walisema siku chache zilizo pita mtoto wa mubaraka wa misri alionekana airport na ulinzi mkali usio wa kawaida ukilinda msafara magari sedan 10 yalio jaa mizigo ambayo baadaye ilipakiwa kwenye ndege tatu na akaondoka, ina semeka kuelekea Uk. Sasa kwa msafara huu ambao umeleta mjadala hapa huwezi jua kilichokuwa kinafanyika. Kukurupuka na kuanza kulaumu watu ambao wana fanyakazi zao kwa uaminifu mnawaonea bure. Hapa TZ sina hakika kama tuna utaratibu wa kutangaziwa threat level iko vipi at any time t.
It is confusing, are you saying R is also running from his country? It cant be
Mbwembwe zote hizo....hii stori umei-quote kwenye gazeti gani? Sani, Ijumaa, Hamu au Kiu???Wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA), zinasema kuwa kijana, mtoto wa mkulu, Ridhiwan, kaonekana uwanjani hapo, ikisemwa kuwa ana safari yake binafsi, kwenda Dubai.