Rick Ross atoka kimapenzi na mrembo mwingine ajulikanaye kama Pretty Vee

Yule jamaa aliumia sana baada ya kuona demu anatafunwa na rozay akaona isiwe tabu kaenda chimbo kasaka lyrics katupia kwa uchungu mno.....😁😁😁😁
Mkuu kuna watu haya mahusiano yamewatesa sana hawakuamini mnyama Rick anaweza kula mbususu ya mndengereko Mobetto😂😂
 
Mimi sina wasiwasi na Hamisa katika kutumia fursa. Ni suala la muda tu kabla limjomba letu,zawadi toka kwa shemeji Rozay halijatotolewa.
 
Kama kuna mwenye ushahidi kuwa Rock Ross ametoka na Hamisa Mobeto aweke hapa.

Isiwe ni ile picha tu iliyopostiwa ambayo wala sio ya kitandani wakiwa naked

Kuna uwezekano ni Wabongo tu wamejiongeza wenyewe kwasababu wanaweza sana.

Evidence please.
 
Back
Top Bottom