Rick Ross atoka kimapenzi na mrembo mwingine ajulikanaye kama Pretty Vee

kuna uzi humu jamaa alitafsiri lyrics za nyimbo kama tano za Rick Ross anazojiisifu kwamba yeye kazi yake ni kuwakaza malaya lakini dada yetu kashindwa hata kuisoma code kuwa alikuwa anapewa alert kuhusu mwamba alivyo
Kwa Ile maphology yake Rick Ross atakua na kibamia tuu, hana madhara. Hiyo kujisifu kwamba ye kazi yake ni kukaza mademu ni defensive mechanism tusione ana kabamia
 
Kwa Ile maphology yake Rick Ross atakua na kibamia tuu, hana madhara. Hiyo kujisifu kwamba ye kazi yake ni kukaza mademu ni defensive mechanism tusione ana kabamia
Lakini muhimu ni kukojoa mura, wewe unadhani wenye hela wanahangaika na kumfikisha mwanamke kileleni au unadhan wanahofia kuchekwa kisa vibamia..hayo mambo tunayo sisi kina Abdallah Bulicheka maana performance yetu atleast ndio itakayokulindia penzi lakini wenye pesa hao awe na kibamia,asiperfom vizuri bado atagandwa mpk kufa kwake😃
 
Lakini muhimu ni kukojoa mura, wewe unadhani wenye hela wanahangaika na kumfikisha mwanamke kileleni au unadhan wanahofia kuchekwa kisa vibamia..hayo mambo tunayo sisi kina Abdallah Bulicheka maana performance yetu atleast ndio itakayokulindia penzi lakini wenye pesa hao awe na kibamia,asiperfom vizuri bado atagandwa mpk kufa kwake
Kweli mura, ngojaa nitafute hela màana ndo mambo yote
 
😂😂kuna uzi humu jamaa alitafsiri lyrics za nyimbo kama tano za Rick Ross anazojiisifu kwamba yeye kazi yake ni kuwakaza malaya lakini dada yetu kashindwa hata kuisoma code kuwa alikuwa anapewa alert kuhusu mwamba alivyo
Yule jamaa aliumia sana baada ya kuona demu anatafunwa na rozay akaona isiwe tabu kaenda chimbo kasaka lyrics katupia kwa uchungu mno.....😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom