RichMitindo akumbatia bomu rasmi!

yani siku hizi ukitaka kuharibu mahusiano yako au ndoa yako sikiliza story za wanaume .wanaume tumekuwa wapashukuna na wambeya kuliko mkoa wa mbeya.

juzi nipo zangu mitaa fulani nikasikia kiu ya bia mchana nikaingia bar na hiyo baa huwa tupo wanaume tunajuana ila cha kushangaza kesho nasikia maneno nyumbani yaliongezewa kuliko kumsifu mama anaupiga mwingi
 
Ndo Chaguo lake. Wivu unakusumbua
Kampeni meneja naona una kazi ya kuweka mambo sawa huku online ila haiondowi ukweli kuwa jamaa kavaa bomu....

Kuna mmoja anaitwa Dogo Tujanja aliingia mjini kwa kiki na kumuokota shangazi mmoja ....nadhani anajuta kilichomkuta...
Hayo mashangazi haya quality of good of wife material,..hutaki acha
 
yani siku hizi ukitaka kuharibu mahusiano yako au ndoa yako sikiliza story za wanaume .wanaume tumekuwa wapashukuna na wambeya kuliko mkoa wa mbeya.

juzi nipo zangu mitaa fulani nikasikia kiu ya bia mchana nikaingia bar na hiyo baa huwa tupo wanaume tunajuana ila cha kushangaza kesho nasikia maneno nyumbani yaliongezewa kuliko kumsifu mama anaupiga mwingi

Aisee wanaume sijui mmekuaje
Kuna jamaa nae alipeleka jambo lake la kawaida tu kwenye kijiwe
Ila Ushauri aliokua anapewa na wale wanaume . Bora tu tuvae wote madela
 
Ana hali mbaya kila siku zinavyosogea Kajala anazidi kumtia umasikini kila inapoitwa leo anamfirisi soon atarudi kariakoo, kamfirisi hadi kawatimua akina anjella na wengineo atamfirisi hadi atarudi kutembelea kandambili,
Daah wanaume kuna wakati tunajifanya wababe kiasi cha kuukabili moto bila maji.
Mtu kama Kajala Harmonize kamwe hawezi kumdhibiti ni suala la muda tu.
 
Back
Top Bottom