Richard Mgamba awa Boss mpya wa The Guardian Ltd

Richard Mgamba awa Boss mpya wa The Guardian Ltd

Alidhani amefika, awaulize wenzake kawaida ya Mengi akishakutumia kazi yake ikiisha anakutosa
 
Nilijua Tu Kuwa Poti Wangu Richard Mghamba Asingeweza Kukaa au Kudumu MCL Kwani Ni Mtu Mwenye Misimamo Ya Kimusomamusoma Hivi.

'poti' wako ndo maana umejawa furaha? Chembe za ukabila ktk utendaji.
 
Aliechaguliwa ni mkurugenz Mtendaji Wa the guardian ltd.Joyce alikuwa anakaimu nafasi hiyo.Joyce bado ni mkurugenz Wa ITV/radio one
 
Kwa mfanyabiashara kama Mengi...na aina za biashara anazofanya....ni too powerful to colapse hata aje rais mwenye akili ya Musollini....alichokifanya ali go with the flow....

Na huyo mpya je?
 
MCL kumejaa majungu, fitna, chuki na Kuna Kujuana Mno, Kiasi Kwamba Kuna Watu Pale Hawaajiriwi Huu Mwaka Wa 10 Sasa, Wanafanya Tu Kama Correspondents. Huku Wengine Wakiwa Retainers Kwa Miaka 9 Sasa, Lakini Cha Kushangaza Anakuja Mtu Leo Baada Ya Miezi 3 Tu Kaajiriwa.

Ila Kwa Kitendo Cha MCL Kununuliwa Waziwazi Na EL Na Kwa Jinsi Alivyo Richard Mghamba, Nilijua Tu Asingeweza Kudumu Pale Kwani Hakuna Kitu Ambacho Richard Mghamba Anakichukia Duniani Kama " RUSHWA " Na " UFISADI " Na Labda Niwakumbusheni Tu Mwandishi Wa Habari Bingwa, Nguli Na ALIYETUKUKA Katika Kuandika Habari Za KIUCHUNGUZI ( Investigative Journalism ) Tanzania Nzima Ni Bwana Richard Mghamba.

Na Miaka Ya 90 Huko Aliwahi Hata Kuhukumiwa Na Mahakama Baada Ya Kuripoti Masuala " NYETI " Ya Nchi.

Waandishi Wengi Wa Sasa Kama Akina Deudetus Balile, Saed Kubenea Na Hata Marehemu Mtani Wangu Edson Kamukara, Wote Walikuwa Wanapita Katika Njia Iliyojengwa Na Richard Mghamba. Hilo Jamaa Ni Jembe Balaa Na Namkubali Hakuna Mfano.

Ushauri Wangu Tu Kwake Ni Kwamba Aijenge Upya The Guardian Limited, Ili Ishindane Na Magazeti Mengine Na Kubwa Zaidi Awajali Wafanyakazi Kwa Kuwajengea Upendo Na Umoja Huku Akiwaboreshea Maslahi Yao. Otherwise Namtakia Kila La Kheri Katika Nafasi Yake Hiyo Mpya. Mkoa Wa Mara Kunapatikana Kila Kitu " Kizuri " Na " Chema ".

acha ukabila
 
Gazeti la Citizen linayumba baada ya Mhariri wake Richard Mgamba kuacha kazi ghafla. Hali ni tete katika gazeti hilo linalomilikiwa na kampuni ya Mwananchi Communications Limited.
 
Gazeti la Citizen linayumba baada ya Mhariri wake Richard Mgamba kuacha kazi ghafla. Hali ni tete katika gazeti hilo linalomilikiwa na kampuni ya Mwananchi Communications Limited.
wataleta wakenya najua watuletee propaganda
 
Gazeti la Citizen linayumba baada ya Mhariri wake Richard Mgamba kuacha kazi ghafla. Hali ni tete katika gazeti hilo linalomilikiwa na kampuni ya Mwananchi Communications Limited.
Ulitakiwa umalizie kuwa Richard Mgamba, ameondoka Mwananchi, na kwenda kuwa Mhariri Mtendaji wa The Guardian LTD!.

Namhurumia sana Richard Mgamba, akiangalia kilichompata tangu Wence Mushi, Vumi Urassa, (RIP), Sakina Dewji, Kiondo Mshana, then yeye ndio anavijaribisha hivyo viatu!.

Pasco
 
hata yeye anakuhurumia wewe ulivyogeuka
 
Ulitakiwa umalizie kuwa Richard Mgamba, ameondoka Mwananchi, na kwenda kuwa Mhariri Mtendaji wa The Guardian LTD!.

Namhurumia sana Richard Mgamba, akiangalia kilichompata tangu Wence Mushi, Vumi Urassa, (RIP), Sakina Dewji, Kiondo Mshana, then yeye ndio anavijaribisha hivyo viatu!.

Pasco
Kwanini usimkaribishe PPR kama kweli una huruma naye!
 
Gazeti la Citizen linayumba baada ya Mhariri wake Richard Mgamba kuacha kazi ghafla. Hali ni tete katika gazeti hilo linalomilikiwa na kampuni ya Mwananchi Communications Limited.

Mbona yupo IPP Media siku nyingi tu! Pia inabidi ufahamu kuwa hiyo nafasi aliyopewa alikuwa akiikaimu kwa kipindi cha miezi sita sasa. Labda ulikuwa mbali na habari mkuu! Labda useme Citizen limeyumba kwa kutangazwa kwake kuwa mkurugenzi wa The gurdian lakini sio kuondoka kwake! Manake anamiaka zaidi ya miwili hayupo Mwananchi!
 
Kwanini usimkaribishe PPR kama kweli una huruma naye!
PPR sio news channel ni production house, na hata kama tuta grow big na kutoa habari, tutatoa electronic news, yeye ni mtu wa print!.

Pasco
 
Mimi nina uhakika wa ninachokiongea. Kama nawe una uhakika basi alitoka MCL akaenda The Guardian, akarudi MCL, na sasa anaenda tena The Guardian. Usinitishie mambo ya tasnia wakati unaandika kwa kutumia 'Title case' ktk kila aya. Hii ni makala ya Mgamba akiwa IPP mwaka 2012 I`m ready for peace or war-any time - IPP Media

Wewe una matusi ya kimediamedia, wenye kujuwa kusoma tumekuelewa.
 
'poti' wako ndo maana umejawa furaha? Chembe za ukabila ktk utendaji.

Nisipompenda Poti Wangu ( Mwana Mara ) Mwenzangu Unataka Nimpende Nani? Kuna Mtu Asiye Mkabila Kwa Sasa Hapa Kwetu Tanzania?
 
Back
Top Bottom