Richard Mgamba awa Boss mpya wa The Guardian Ltd

Richard Mgamba awa Boss mpya wa The Guardian Ltd

Mhavile alikua akikaimu ukurugenzi the guardian, leo kapatikana ceo mwingine Richard Mgamba aliekua mhariri wa the citizen ndo anakua boss mpya.
Mgamba si alikua huko juzi juzi tu,then akaenda MCL?
 
Mgamba si alikua huko juzi juzi tu,then akaenda MCL?

MCL kumejaa majungu, fitna, chuki na Kuna Kujuana Mno, Kiasi Kwamba Kuna Watu Pale Hawaajiriwi Huu Mwaka Wa 10 Sasa, Wanafanya Tu Kama Correspondents. Huku Wengine Wakiwa Retainers Kwa Miaka 9 Sasa, Lakini Cha Kushangaza Anakuja Mtu Leo Baada Ya Miezi 3 Tu Kaajiriwa.

Ila Kwa Kitendo Cha MCL Kununuliwa Waziwazi Na EL Na Kwa Jinsi Alivyo Richard Mghamba, Nilijua Tu Asingeweza Kudumu Pale Kwani Hakuna Kitu Ambacho Richard Mghamba Anakichukia Duniani Kama " RUSHWA " Na " UFISADI " Na Labda Niwakumbusheni Tu Mwandishi Wa Habari Bingwa, Nguli Na ALIYETUKUKA Katika Kuandika Habari Za KIUCHUNGUZI ( Investigative Journalism ) Tanzania Nzima Ni Bwana Richard Mghamba.

Na Miaka Ya 90 Huko Aliwahi Hata Kuhukumiwa Na Mahakama Baada Ya Kuripoti Masuala " NYETI " Ya Nchi.

Waandishi Wengi Wa Sasa Kama Akina Deudetus Balile, Saed Kubenea Na Hata Marehemu Mtani Wangu Edson Kamukara, Wote Walikuwa Wanapita Katika Njia Iliyojengwa Na Richard Mghamba. Hilo Jamaa Ni Jembe Balaa Na Namkubali Hakuna Mfano.

Ushauri Wangu Tu Kwake Ni Kwamba Aijenge Upya The Guardian Limited, Ili Ishindane Na Magazeti Mengine Na Kubwa Zaidi Awajali Wafanyakazi Kwa Kuwajengea Upendo Na Umoja Huku Akiwaboreshea Maslahi Yao. Otherwise Namtakia Kila La Kheri Katika Nafasi Yake Hiyo Mpya. Mkoa Wa Mara Kunapatikana Kila Kitu " Kizuri " Na " Chema ".
 
GENTAMYCINE

Kazi ni kazi muraa, hakuna utani muraa,mutu akireeta nyefunyefu, atakiona,hapa ni kazi kwa kwenda mberee ,maana bita ni bita muraa, najua munajua muraa nimekuraa kiboro cha warii Niko fiti muraaaa
 
Last edited by a moderator:
Nadhani outage yake ni ahueni sana kwa walio wengi.
Watu wengi waliopita kufanya kazi pale wanalalamika kuhusu huyo mama.
Sasa Kama huyo Muraaaaa kaingia mzigoni basi kazi sasa itafanyika Muraaaaa

Huyo Joyce cha mtoto. laiti ungekutana na marehemu mama yake ungesema watu wengine walizaliwa sayari ya Mars.
 
Mkuu , this is news to me!.

Kwa ninavyofahamu mimi, Joyce alichukua nafasi ya Kiondo Mshana pale Guardian akawa anashika both, hivyo inawezekana sasa amepunguziwa majykumu na kubaki na position moja!.

Licha mimi ku run Saba Saba series hapo ITV, hii sijaisikia!. Kesho Mzee Mengi, anatinga Saba Saba hivyo nitaisikia!.

Pasco
 
Mgamba si alikua huko juzi juzi tu,then akaenda MCL?

Mgamba yuko The Guardian kwa zaidi ya miaka 2 sasa. Kabla ya hapo alikuwa The Citizen ya MCL. Nadhani mdau haja-update mafaili yake muda mrefu.
 
The Boss

boss, mbona unauliza, unajijibu, halafu unajiconfuse tena mwenyewe then unarudi kwenye maswali??

Its my guess kwamba unajua kinachoendelea
 
Last edited by a moderator:
Sasa anachukia rushwa halafu yuko IPP MEDIA? Ambako Lowassa ndie mgombea wao wanao mpigia debe? Seriously?

Ebhana Kweli Na Ndiyo Nimeligundua Hilo Na Mimi Muda Si Mrefu Mkuu. au Usikute Labda Ndiyo Anakwenda Kumaliza Hilo Tatizo La Kununuliwa!
 
Mgamba yuko The Guardian kwa zaidi ya miaka 2 sasa. Kabla ya hapo alikuwa The Citizen ya MCL. Nadhani mdau haja-update mafaili yake muda mrefu.

Wiki 3 au 5 Tu Kama Sijakosea Zilizopita Nilikuwa Nae Pale MCL Kwa Mazungumzo Maalum Ya Kitasnia Yetu Na Hapo Nina Access Napo 24/7. Shame On You Kwa Kutudanganya.
 
Back
Top Bottom