Richard Mgamba awa Boss mpya wa The Guardian Ltd

Richard Mgamba awa Boss mpya wa The Guardian Ltd

Mkuu , this is news to me!.

Kwa ninavyofahamu mimi, Joyce alichukua nafasi ya Kiondo Mshana pale Guardian akawa anashika both, hivyo inawezekana sasa amepunguziwa majykumu na kubaki na position moja!.

Licha mimi ku run Saba Saba series hapo ITV, hii sijaisikia!. Kesho Mzee Mengi, anatinga Saba Saba hivyo nitaisikia!.

Pasco

The Boss atakuwa ameelewa vibaya. Nafasi aliyokaimu The Guardian ndiyo aliyopewa mwingine. Nafasi yake ITV/Radio One imebaki pale pale...
 
Last edited by a moderator:
The Boss atakuwa ameelewa vibaya. Nafasi aliyokaimu The Guardian ndiyo aliyopewa mwingine. Nafasi yake ITV/Radio One imebaki pale pale...

Uko right, mimi nimeuliza baada ya kuona EATV news. Hawakuwa that clear.
 
Ebhana Kweli Na Ndiyo Nimeligundua Hilo Na Mimi Muda Si Mrefu Mkuu. au Usikute Labda Ndiyo Anakwenda Kumaliza Hilo Tatizo La Kununuliwa!

Utakuwa dissapointed very soon, Mengi binafsi keshaamua kumuunga mkono Lowassa.. Anatoa tu order kwa watu wake wa chini
 
Wiki 3 au 5 Tu Kama Sijakosea Zilizopita Nilikuwa Nae Pale MCL Kwa Mazungumzo Maalum Ya Kitasnia Yetu Na Hapo Nina Access Napo 24/7. Shame On You Kwa Kutudanganya.

Mimi nina uhakika wa ninachokiongea. Kama nawe una uhakika basi alitoka MCL akaenda The Guardian, akarudi MCL, na sasa anaenda tena The Guardian. Usinitishie mambo ya tasnia wakati unaandika kwa kutumia 'Title case' ktk kila aya. Hii ni makala ya Mgamba akiwa IPP mwaka 2012 I`m ready for peace or war-any time - IPP Media
 
Kama Hadi Leo Unashangaa Uandishi Wangu Humu JF Wa " Title Case ", Lazima Utakuwa Ni Mgeni Kwangu. Kuna kazi zetu za kitasnia nimefanya na Richard Mghamba Pamoja Na Comrade Mwingine Nevile Meena Wa Free Media ( Tanzania Daima ) Wiki Hizo 3 au 5 Tu Zilizopita Tena Tukiwa Tumekaa Nae Ofisini Kwake MCL.
 
Laana Ya Mikidadi Mahmoud Na Hayati Julius Nyaisanga Sasa Zinaanza Kufanya Kazi Kwake. Aliyowafanyia Mwenyezi Mungu Anajua Na Anawalipia Sasa.
Khaa!! Haya ndiyo mawazo ya walioshindwa. Umejuaje haya?? Au unajifariji moyo wako tu. Awe CEO au asiwe wewe umeongeza nini?? Hebu tutumie muda wetu kufikiri vitu vinavyotunufaisha bana
 
The Boss

Joyce Mhavile ni mkurugenzi wa ITV na Radio one. Huyo bwana ni mkurugenzi mtendaji wa The Guardian. Usichanganye mambo.
 
Last edited by a moderator:
Utakuwa dissapointed very soon, Mengi binafsi keshaamua kumuunga mkono Lowassa.. Anatoa tu order kwa watu wake wa chini

Bad timing kwa Mengi, very bad timing.

Hana uhakika kama Lowassa atapitishwa au la, what if lowasa asipitishwe na huyo atakaepitishwa atamuweka kwenye nafasi gani mengi?

Angesubiri baada ya mchakato wa kuteua mgombea halafu akajiunga na lowasa.
 
Huyu Mhavile ameshawahi kuingia wadi ya wazazi ? anawatoto ?
 
Bad timing kwa Mengi, very bad timing.

Hana uhakika kama Lowassa atapitishwa au la, what if lowasa asipitishwe na huyo atakaepitishwa atamuweka kwenye nafasi gani mengi?

Angesubiri baada ya mchakato wa kuteua mgombea halafu akajiunga na lowasa.

Mengi yuko desperate, na Lowassa yuko desperate. Hawa think straight now... washaamua by any means necessary. Naona Mengi atamfuata Lowassa popote kule, hata ACT
 
Bad timing kwa Mengi, very bad timing. Hana uhakika kama Lowassa atapitishwa au la, what if lowasa asipitishwe na huyo atakaepitishwa atamuweka kwenye nafasi gani mengi?

Angesubiri baada ya mchakato wa kuteua mgombea halafu akajiunga na lowasa.
uhakika upi unaongelea
 
Back
Top Bottom