Reviews: Wanawake wa Kitanga

Reviews: Wanawake wa Kitanga

Waondoe wasambaa kwenye huo mjumuisho.
Na hili ndilo tatizo kubwa la watu wa kuja (WANYIKA). Siku zote wamekuwa wakiamini utamaduni wa watu wa Tanga mjini ndiyo utambulisho wa watu wa Mkoa wote wa Tanga!

Hata hawafahamu kama Mkoa wa Tanga una makabila na tamaduni tofauti! Kusema eti wanawake wa Kisambaa kutoka Lushoto au Korogwe hawapendi kufanya kazi! ni kichekesho.
 
Reference ni Wadigo.
 
1. Ni wanawake wenye dedication kwenye mapenzi na ndoa
2. Hawapendi kufanya kazi ila wapo vizuri kwa kazi za Kitandani tu
3. Wengi wanaweza kuwa na sura nzuri ila maumbo si sana.
4. Wanajua sana kupika
5. Wana ongea kwa mahaba
6. Si wachoyo ni wakarimu kwenye mambo yote
7. Wanajua kuzaa huwa hawakatai hata ukimwambia tu nizalie. Anafurahi
8. Hawapendi shule. Wengi ni darasa la 7 akijitahidi sana kidato cha 4.
9. Wanawaheshimu wanaume wao sababu ndo wanawaweka mjini
10. Wana mahaba sana na watekaji wa mioyo ya wanaume.
Chai
 
zamani nikajua wanawake wa tanga ni wazuri hasa upande wa hips, msambwanda, na miguu kuja kuwaona wanawake wa tanga tobaaaaaa dada zetu wazuri narudia wazuri labda wanajua ndo mapenzi na kupika maandazi vyakula vingine km ugali zero wali napo zero wamekariri upishi ni nazi na sio ubunifu

ni mdodo mwai aaaai aaai ni mdodo mametu ni mdodo aaai iii

Wengi wao wazuri wa sura. Na Manyonyo makubwa. HAWANA HIPS HAWANA MAKEBO MAKUBWA.
 
Njoo Kondoa Utasahau Tanga Kabisa
Fika Pahi Halafu Malizia Kijiji Kinaitwa MAUNO
Ukija Teleka Bicha Unganisha Gari
Hapo kwenye mauno wamakonde na wangoni tu wengine wanaiga
 
Back
Top Bottom