Reviews: Wanawake wa Kitanga

Reviews: Wanawake wa Kitanga

Hapo kwenye mauno wamakonde na wangoni tu wengine wanaiga
Mkuu
Kondoa Nako Yaliyomo Yamo


Songea Nilikuwa Pale Kwenye Mgahawa Maarufu Krista Na Himo Mambo Nayo Siyo Haba Na Chakula Tele Ukila Ukishiba Tako Mbili Wazungu Hao
 
1. Ni wanawake wenye dedication kwenye mapenzi na ndoa
2. Hawapendi kufanya kazi ila wapo vizuri kwa kazi za Kitandani tu
3. Wengi wanaweza kuwa na sura nzuri ila maumbo si sana.
4. Wanajua sana kupika
5. Wana ongea kwa mahaba
6. Si wachoyo ni wakarimu kwenye mambo yote
7. Wanajua kuzaa huwa hawakatai hata ukimwambia tu nizalie. Anafurahi
8. Hawapendi shule. Wengi ni darasa la 7 akijitahidi sana kidato cha 4.
9. Wanawaheshimu wanaume wao sababu ndo wanawaweka mjini
10. Wana mahaba sana na watekaji wa mioyo ya wanaume.
Mimi nimebahatika kutembea nao kadhaa na mmoja tumezaa nae watoto 2 na sifa zake ni hizi:
1.ni mpole sana na hawezi hata kutoa tusi maja
2.ni msafi mno wa mwili,nyumbani kwake na msafi wa moyo
3.anajua sana mahaba na kwenye tendo la ndoa ni bingwa,kwenye tendo anaongea sana na huongea kila maneno na kuna wakati anachanganya na matusi.Safari za kwa mpalange tulienda sana
4.Ni mtafutaji haswa,aliniomba mtaji siwezi kuutaja hapa na nilimpa,hivi sasa ana duka kubwa dar maeneo ya sinza na kanunua gari kwa sasa.
5.Kwa sifa hizo ilibidi nizae nae,tumepata mapacha na wapo form 1 na wanasoma kenya maana huko niliwahi kukaa na nina kitega uchumi na nyumba ya kukaa nairobi
 
Mkuu
Kondoa Nako Yaliyomo Yamo


Songea Nilikuwa Pale Kwenye Mgahawa Maarufu Krista Na Himo Mambo Nayo Siyo Haba Na Chakula Tele Ukila Ukishiba Tako Mbili Wazungu Hao
Hahaha sema kondoa wamenyooka sana bwashee 😅
 
Niliingia Tanga jioni nikazunguka usiku nikaondoka asubuhi lakini niliondoka na uzoefu mzuri,nitarudi tena kuexplore zaidi
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Semeni basi na mazuri yetu..mmekazania hasi tu
Kila mtu ana mapungufu yake

Na tabia hazifanani
 
Back
Top Bottom