REV MASAPILA WITH HONORARY PhD

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
596
307
Salama wandugu,
Eti mimi najiuliza kama JK na Mrema wametunukiwa Phd za heshima then why not REV MASAPILA?
 
K.C.M.C chuo cha KKKT watampa tu,tusubiri.anastahili kwa uwezo wake wa kuwafool mpaka viongozi wa vyama na serikali.
 
Salama wandugu,
Eti mimi najiuliza kama JK na Mrema wametunukiwa Phd za heshima then why not REV MASAPILA?

Mhh!!! Swali gumu!!!! double standards or.......au hana vigezo, ??????. Tupate international vigezo (and not local vigezo-as academic/honorary accreditations have got international standards), then tulinganishe na hao waliopata, then tutaona kama anastahili.
 
:bange:

Mrema kapewa? lini tena jamani? Kwa lipi hasa? Hebu mtujuze wengine maana tulikuwa mashimoni hata hatuelewi mavituz huku juu yanaendaje
 
Kigezo kikubwa kinachotumiwa kupewa Honorary Degree such as Honorary PhD ni kufanya jambo ambalo linalosadikika kuwa na mchango katika kutatua tatizo fulani ambalo lilikuwa linaisumbua jamii!
 
Kigezo kikubwa kinachotumiwa kupewa Honorary Degree such as Honorary PhD ni kufanya jambo ambalo linalosadikika kuwa na mchango katika kutatua tatizo fulani ambalo lilikuwa linaisumbua jamii!
sa huyo mrema na huyo jk,wamefanya kipi cha maana hadi wa2nukiwe hzo degree za heshma?
 
Back
Top Bottom