Wenye kujua vyanzo vya Majarida Rejea

Che mittoga

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
11,282
14,107
Husika na kichwa cha habari hapo juu.

Kwa heshima na taadhima naomba wanaojua vyanzo vya Majarida Rejea namaanisha Referencing Materials Kama Journals na machapisho mengine ya kurejea wakati wa kuandika Utafiti (Research) ambavyo vina machapisho hai (current) wanisaidie kunifahamisha.

Mimi natumia PDF, Google Scholar, na Z/Library ambazo machapisho yake mengi ni outdated, ukiyarejea Maprofesa wetu hawayakubali.

Naomba Mwenye kujua Current materials searching engines anijuze humu ili nimalizie PHD yangu salama.

Hata Kama zina Password tusaidiane tu hizo Password ili tumalize shule zetu.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom