Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,511
Mpwa umeishashuka kutoka kwenye dari..
Nawashangaa wapwa zangu hata kunithamini hakuna mlikuwa mnategemea nife ili mje kuuza sura msibani kuna member wa jf asie tambulika kaniokoa.
Mpwa umeishashuka kutoka kwenye dari..
wanakihasi kama ng'ombe au mbwa!
Kisizae watoto?
Yuko vacation anazitumia vizuri sadaka za kondoo wake!
na wewe ulipotea!
oppssssssss, yarabi tobaaa!
long time sana sijamuona huyu mkuu hope yuko poa
Huyu jamaa nimewasiliana naye leo mchana,
Amenitonya kuwa yuko kwenye harakati za kusajili chama ili akusanya makafulila yote yatakayofulia kwenye vyama vyao!!
Mnataka nimwambie nini??
Babu DC!!
Mwambie kuna kondoo humu jf anaitwa kongosho hajulikani ni HE au ni SHE manake ana mandevu na mahps kwa wakati mmoja, aje amfanyie maombi tumtambue jinsia yake ni ipi.Huyu jamaa nimewasiliana naye leo mchana,
Amenitonya kuwa yuko kwenye harakati za kusajili chama ili akusanya makafulila yote yatakayofulia kwenye vyama vyao!!
Mnataka nimwambie nini??
Babu DC!!
Mpwa nilimtuma huyo member akuletee Konyagi kwa kuwa Konyagi ni rafiki yako wa damu angekusaidia kipindi hiki ambacho uko juu ya dari kupisha mafuriko yaisheNawashangaa wapwa zangu hata kunithamini hakuna mlikuwa mnategemea nife ili mje kuuza sura msibani kuna member wa jf asie tambulika kaniokoa.
Usisahau kuja usiku wa leo tutafanya maombi ya mwili kwa mwili haya ni maombi mapya kabisausharekebisha godoro na shuka kwenye kile chumba?
Na sauti imesharudi? Umeacha kukemea kwa kupapasa?
Atakayenionea na shemeji langu uporoto01 amwambie pia namtafuta sana...
Bora umesema, to be honest hata mie cjui huyu mwenzetu ni jinsi gani, bora afanyiwe maombi!Mwambie kuna kondoo humu jf anaitwa kongosho hajulikani ni HE au ni SHE manake ana mandevu na mahps kwa wakati mmoja, aje amfanyie maombi tumtambue jinsia yake ni ipi. Natanguliza shukrani babu mpendwa.
Bora umesema, to be honest hata mie cjui huyu mwenzetu ni jinsi gani, bora afanyiwe maombi!
Daaah huyo memba mmbaya sana, manake alipeleka chai badala ya konyagi, si ulimwona fidel akinywea chai juu ya paa?Mpwa nilimtuma huyo member akuletee Konyagi kwa kuwa Konyagi ni rafiki yako wa damu angekusaidia kipindi hiki ambacho uko juu ya dari kupisha mafuriko yaishe
Dah, sasa angepataje hiyo kiroba wakati yupo darini, maana hata boat haiingii kwake coz mlango mwembambaaa?Mpwa nilimtuma huyo member akuletee Konyagi kwa kuwa Konyagi ni rafiki yako wa damu angekusaidia kipindi hiki ambacho uko juu ya dari kupisha mafuriko yaishe
Hi darlin'Uporoto amejiunga na waharamia wa somali anateka majahazi yanayokatiza bahari ya hindi, kimemchanganyia sana ameniambia hategemei kuludi bongo tena