Rev Fr Masanilo!!

Huyu mtu yuko wapi?

Kapata Jimama flani la Manzese ambalo lilikua kondoo wake ndio limemfungia ndani mpaka leo!!
Mi nlibahatika kumuona kama zali tu wakati napita mitaa ile!!
Wana JF kama kweli tunamuhitaji mwenzetu tufanyeni hima tukamtoe hapo mahali!!
 
hata uwe na stress kilo ngapi uki review majibizano ya Mafahari wawili wa JF Malaria Sugu na Rev Fr Masanilo utavunja mbavu zote! Hawa jamaa siku wakionana dunia itachanika ghafla!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom