Rev Fr Masanilo!!

Rev Fr Masanilo!!

atakua kwenye mafungo na maombi ili ndugu zetu waliokubwa na mafuriko wasiendelee kuteseka.... Kama hayupo hapo basi atakua bar anaomboleza
 
Kweli amepotea sana!

Tafadhali baba mchungaji popote pale ulipo kondoo wako tunakukumbuka njoo japo utupe neno la x'mas..
 
kwa kweli mchungaji masa kapotea hm..nilitaka kumpa debate na rejao,humu chit chat
 
Msimu wa Sikukuu yuko busy anawapa baraka za krismasi kondoo wake...amefungua Kanisa jipya South Sudan maeneo ya Juba tumuunge mkono usafiri wa ndege kwenda na kurudi Juba upo unatolewa bure na mchungaji masa kipindi hiki cha sikukuu...
 
usharekebisha godoro na shuka kwenye kile chumba?
Na sauti imesharudi? Umeacha kukemea kwa kupapasa?

Msimu wa Sikukuu yuko busy anawapa baraka za krismasi kondoo wake...amefungua Kanisa jipya South Sudan maeneo ya Juba tumuunge mkono usafiri wa ndege kwenda na kurudi Juba upo unatolewa bure na mchungaji masa kipindi hiki cha sikukuu...
 
Yuko vacation anazitumia vizuri sadaka za kondoo wake!
 
Back
Top Bottom