Rev Fr Masanilo!!

Rev Fr Masanilo!!

hakikisheni ana nguvu za kutosha
asije aka-melt to my needs and wishes

Fidel80 kasema eti anazo zote mbili,
mie nimesema bora aje kuthibitisha mwenyewe baada ya maombi ya Rev
wewe unaonaje?
 
Rev Fr Masa kajiunga na geshi spesho forces, hamkumuona pale 50 miaka alivyokuwa akivunja vitofari kwa ngumi!
 
Kiukweli nazimia sana comments za Rev Fr Masanilo! Huyu jamaa anakipaji cha pekee kuchekesha! mzee wa suruali fupi fupi vipi? Usisuse jamvi bana,longtime kitambo! Rudi utuvunje mbavu bana!
 
U
Kiukweli nazimia sana comments za Rev Fr Masanilo! Huyu jamaa anakipaji cha pekee kuchekesha! mzee wa suruali fupi fupi vipi? Usisuse jamvi bana,longtime kitambo! Rudi utuvunje mbavu bana!

Atakuja tu yupo busy kule zenji. Shaka we ondoa
 
Back
Top Bottom