retired sister nipo hapa

retired sister nipo hapa

Status
Not open for further replies.
Kha!!! Jamani kwani mwanamke duniani ni huyu tuu?

Eti bana.yani naona umenywea mbaya.unapenda title eeee?.nitafute mie nina taito likali pilot cha mtoto.ila uwahi mihadi i wont tolerate even 10 minutes delay.
 
Taito kubwa kuliko zote kwa mwanaamke ni K

Mengine mapambo tu.

Wee ni Salma wa Magogoni?

Eti bana.yani naona umenywea mbaya.unapenda title eeee?.nitafute mie nina taito likali pilot cha mtoto.ila uwahi mihadi i wont tolerate even 10 minutes delay.
 
mimi sio muongeaji sana. ila mimi ni mtu ninaejiamini sana.kuja kutafuta mchumba hapa kwa huu mtandao sio kwamba nilikuwa nimekosa.Kama nilivosema mimi nimekaa nje sana. sikupenda kuwa na mahusiano na wazungu. pia class yetu wanaigeria ndo walikuwepo na other guys wa uganda. na mimi sikupenda kabisa hizo figure.my wish ilikuwa ni kupata home boy! ila sina shida yoyote kama ni uzuri ninao sana anzia kichwani hadi unyayo.
huyo anaesema aliniona nadhani alishtuka maybe hajawai kuona binti mzuri kama mimi.akadhani amekufa yupo mbinguni anaona malaika! mimi najiamini sana sina kasoro yoyote na ndo maana nilikuwa na confidence ya kuja hapa public najua nina sifa zote za kuwa mwanamke sio kimwili tu hadi kichwani.... nisingekuwa pilot!

Pole jamaa alikukimbia steers kumbe huna radha kwake.
 
Nyie nao mnawakatisha moyo wenzenu, nimekatiza love connect siku ya pili leo hakuna mtu aliyetangaza nia!Hebu tupisheni na mipasho yenu!!

Natafuta mrembo wa kuoa baadae tukiendana tabia! Sifa awe mweupe na asiwe mfupi sana(Maana mimi urefu nakaribiana na Hasheem Thabit so tusijekuwa kituko)!Elimu angalau form four na asizidi shahada ya kwanza (Degree). Aliye serious anakalibishwa kuni-pm!
 
You guys are so funny! Mambo yenu ya sirini huko imekuwaje yamerudi hapa JF? Kila mtu anajaribu kumuumbua mwenzie? Si mngeendelea kupigiana simu na kuelezana ukweli hukohuko? Mmmh, sasa sisi tumeambiwa wewe una sura na umbo ambalo linakufanya uonekane dume si dume blabla... huku wewe ukituaminisha kwamba jamaa ni mshamba na ana mambo ya kizamani. Mnaonaje mngetunziana hizi siri huko huko? Kila wanaokutana na kushindwana huko wakija kushitakiana hapa JF, kuna watu watatupa ID zao kwa kuogopa aibu.

Umezungumza maneno ya ki utu uzima ndugu yangu kwani nami nimekuwa nikihoji hivyo hivyo. Maana ukweli ni kuwa mpaka watu mkiamua kukutana hapa JF ni kuwa mumeamua ku compromise identity yenu na hiyo ni saini ya trust. Mbona mnahujummu trust yenu sasa? Nilifikiri watu watakuwa matured enough kuweza kuvumiliana na kusitiriana hata pale ambapo mahusiano tarajiwa hayakwenda au kukidhi viwango tarajiwa vya wahusika.

Hii itafanya hata wale wengine wenye nia njema ya kupata 'wenza' kupitia hapa JF waanze kujenga hisia za hofu na mashaka kwa kutokuwa na ujasiri wa kuthubutu, hususan dada zetu ambao mara nyingi tumekuwa tukidai kuwa hawajiamini. Wa Marekani wana usemi kuwa ''whatever happens in vegas stays in vegas"
 
Umepitwaje mtanange round ya 3

Naona paka mweusi katolewa kwa knock out ya taito ya dada mstaafu.

Kaangushwa chali.

Pole jamaa alikukimbia steers kumbe huna radha kwake.
 
mimi sio muongeaji sana. ila mimi ni mtu ninaejiamini sana.kuja kutafuta mchumba hapa kwa huu mtandao sio kwamba nilikuwa nimekosa.Kama nilivosema mimi nimekaa nje sana. sikupenda kuwa na mahusiano na wazungu. pia class yetu wanaigeria ndo walikuwepo na other guys wa uganda. na mimi sikupenda kabisa hizo figure.my wish ilikuwa ni kupata home boy! ila sina shida yoyote kama ni uzuri ninao sana anzia kichwani hadi unyayo.
huyo anaesema aliniona nadhani alishtuka maybe hajawai kuona binti mzuri kama mimi.akadhani amekufa yupo mbinguni anaona malaika! mimi najiamini sana sina kasoro yoyote na ndo maana nilikuwa na confidence ya kuja hapa public najua nina sifa zote za kuwa mwanamke sio kimwili tu hadi kichwani.... nisingekuwa pilot!

ah kumbe wee pilot...mhm nyc but honey being a pilot dnt mean u smart...smart is having a nobel prize in physics now thats smart.
duh sasa wee umeahindwa pata macaptain hapo airport uje ujiangaishe huku jf were ppl aint real
 
Hivi hata ungo wa usiku si ni ndege?

Ujue uzuri wa kiswahili hatutofautishi bird na eroplane, zote ni ndege tu.

Anayeendesha kunguru anaendesha ndege, anayeendesha boeng naye aanaendesha ndege

Basi raha tupu

Yani wewe Kongosho nahisi ulihusika kusaidia shughuli ya mtongozo lolz..

Palipokushinda tu.. Ni planning ya hyo first visit...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom