retired sister nipo hapa

retired sister nipo hapa

Status
Not open for further replies.
mimi sio muongeaji sana. ila mimi ni mtu ninaejiamini sana.kuja kutafuta mchumba hapa kwa huu mtandao sio kwamba nilikuwa nimekosa.Kama nilivosema mimi nimekaa nje sana. sikupenda kuwa na mahusiano na wazungu. pia class yetu wanaigeria ndo walikuwepo na other guys wa uganda. na mimi sikupenda kabisa hizo figure.my wish ilikuwa ni kupata home boy! ila sina shida yoyote kama ni uzuri ninao sana anzia kichwani hadi unyayo.
huyo anaesema aliniona nadhani alishtuka maybe hajawai kuona binti mzuri kama mimi.akadhani amekufa yupo mbinguni anaona malaika! mimi najiamini sana sina kasoro yoyote na ndo maana nilikuwa na confidence ya kuja hapa public najua nina sifa zote za kuwa mwanamke sio kimwili tu hadi kichwani.... nisingekuwa pilot!
Asante mwanamke kujiamini bwana, lv u
 
almasi na wema
wamehamia jeiefuu!!
haina haja ya udaku lol
tunaupata live hahahaaa!!
 
ah kumbe wee pilot...mhm nyc but honey being a pilot dnt mean u smart...smart is having a nobel prize in physics now thats smart.
duh sasa wee umeahindwa pata macaptain hapo airport uje ujiangaishe huku jf were ppl aint real
​nashanga!!!!
 
Naona mdada alikuwa kadoda kama mchicha ulio nyauka sokoni alipo pata fagia fagia nae akajichomeka kwenye takataka

dada huyooooo
anaolewaaaaaa
mahariiiiiiiiiiiiii
ishatolewaaaaa
steers alikimbiwaaa!!
clasmate kajitwaliaaaaa!!
 
Hiv kuna.msamaria yeyote mwem hap jamvini.anayeweza kuniambia, hasa kwa PM na akiwa mwanmke kwammba hapa MMU siku izi mbil habari ya mujini ni nini?

Nipo.mgodini buzzwagi sipati muda ki ivo.

Cc Kongosho snowhite Madame B Zion Daughter Retired Sister mwaJ msiri wangu

Msiri wangu Kaizer hakuna cha Buzwagi wala Tulawaka! Mie nakuambia hapa hapa jamvini kuwa MMU siku 2 hizi habari ya mujini ni kwamba love connect ikiitika usichelewe kufika mlipokubaliana kuonana vinginevyo utakuta mwana si wako na kubaki sizitaki mbichi hizi! Ngoja Kongosho atakutengenezea summary nzuri zaidi maana tulipokuwa shule mie nilikuwa nadesa kwake.
 
Last edited by a moderator:
Msiri wangu Kaizer hakuna cha Buzwagi wala Tulawaka! Mie nakuambia hapa hapa jamvini kuwa MMU siku 2 hizi habari ya mujini ni kwamba love connect ikiitika usichelewe kufika mlipokubaliana kuonana vinginevyo utakuta mwana si wako na kubaki sizitaki mbichi hizi! Ngoja Kongosho atakutengenezea summary nzuri zaidi maana tulipokuwa shule mie nilikuwa nadesa kwake.
usisahau na mwl wake snowhite.....
rafiki naomba unisaidie kutafuta baunsa wa kumkinga snowhite maana si unajua yeye ndo tunamtegemea kwenye ukoo? sasa kama mtawa mstaafu ni mbeba vyuma si tutaumbuka?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom