Retired Sister
Senior Member
- Jan 11, 2013
- 182
- 234
mimi sio muongeaji sana. ila mimi ni mtu ninaejiamini sana.kuja kutafuta mchumba hapa kwa huu mtandao sio kwamba nilikuwa nimekosa.Kama nilivosema mimi nimekaa nje sana. sikupenda kuwa na mahusiano na wazungu. pia class yetu wanaigeria ndo walikuwepo na other guys wa uganda. na mimi sikupenda kabisa hizo figure.my wish ilikuwa ni kupata home boy! ila sina shida yoyote kama ni uzuri ninao sana anzia kichwani hadi unyayo.
huyo anaesema aliniona nadhani alishtuka maybe hajawai kuona binti mzuri kama mimi.akadhani amekufa yupo mbinguni anaona malaika! mimi najiamini sana sina kasoro yoyote na ndo maana nilikuwa na confidence ya kuja hapa public najua nina sifa zote za kuwa mwanamke sio kimwili tu hadi kichwani.... nisingekuwa pilot!