retired sister nipo hapa

retired sister nipo hapa

Status
Not open for further replies.
::
Retired Sister
Hongera sana kwa kujiamini,,na kwa kuwa upo hapa na ni mzuri,,nina swali kwako.
Je,unadhani ni kwa nini asilimia kubwa ya wanawake wazuri hawadumu ktk mahusiano ya mapenzi?
=
 
Last edited by a moderator:
mimi sio muongeaji sana. ila mimi ni mtu ninaejiamini sana.kuja kutafuta mchumba hapa kwa huu mtandao sio kwamba nilikuwa nimekosa.Kama nilivosema mimi nimekaa nje sana. sikupenda kuwa na mahusiano na wazungu. pia class yetu wanaigeria ndo walikuwepo na other guys wa uganda. na mimi sikupenda kabisa hizo figure.my wish ilikuwa ni kupata home boy! ila sina shida yoyote kama ni uzuri ninao sana anzia kichwani hadi unyayo.
huyo anaesema aliniona nadhani alishtuka maybe hajawai kuona binti mzuri kama mimi.akadhani amekufa yupo mbinguni anaona malaika! mimi najiamini sana sina kasoro yoyote na ndo maana nilikuwa na confidence ya kuja hapa public najua nina sifa zote za kuwa mwanamke sio kimwili tu hadi kichwani.... nisingekuwa pilot!

Mtu anayejiamini angenyamaza kimya, na sio kufungua thread nyingine. Kama kuna pilot wa aina yako, basi sasa tutegemee kuona ajali nyingi za ndege kama ilivyo barabarani.

Acha nikwambie ukweli, hunijui sikujui, hunitanii sikutanii: mwanamke aliyekamilika hatafuti wanaume bali wanaume humtafuta. Inaonekana unapenda sana show off to an extent ulitaka watu wajue wewe ni fulani kwa hiyo ukaja kujishau hapa ili uwe unafanya appointment na wanaume wa hapa ili baadaye wakutolee ushuhuda kuwa wewe ni pilot. Sasa umekutana na watoto wa TMK wamezaliwa wanasema.

Kama mzuri kweli kaa kimya. You just PM Mwana Mtoka Pabaya nikupe mapigo ya kibongo, si umetoka nje wewe? Ila hiyo avatar yako inaonesha ulikuwa Tandale kwa Mtogole mida mingi tu ya maisha yako.
 
Last edited by a moderator:
::
Retired Sister
Hongera sana kwa kujiamini,,na kwa kuwa upo hapa na ni mzuri,,nina swali kwako.
Je,unadhani ni kwa nini asilimia kubwa ya wanawake wazuri hawadumu ktk mahusiano ya mapenzi?
=
kwa kweli siwezi kukujibu swali lako.maana wanawake wengi tu wazuri wapo kwenye mahusiano.
 
Mtu anayejiamini angenyamaza kimya, na sio kufungua thread nyingine. Kama kuna pilot wa aina yako, basi sasa tutegemee kuona ajali nyingi za ndege kama ilivyo barabarani.

Acha nikwambie ukweli, hunijui sikujui, hunitanii sikutanii: mwanamke aliyekamilika hatafuti wanaume bali wanaume humtafuta. Inaonekana unapenda sana show off to an extent ulitaka watu wajue wewe ni fulani kwa hiyo ukaja kujishau hapa ili uwe unafanya appointment na wanaume wa hapa ili baadaye wakutolee ushuhuda kuwa wewe ni pilot. Sasa umekutana na watoto wa TMK wamezaliwa wanasema.

Kama mzuri kweli kaa kimya. You just PM Mwana Mtoka Pabaya nikupe mapigo ya kibongo, si umetoka nje wewe? Ila hiyo avatar yako inaonesha ulikuwa Tandale kwa Mtogole mida mingi tu ya maisha yako.
nashukuru sana.ila unajichosha bure.ujifunze adabu.mwanaume kukosa busara kichwani ni umaskini mkubwa sana kuliko vyote
 
Hivi ulienda tena kwenye ule uzi wa ndege za mabilionea? Lol!

Aaah, mwaJ weee, upo mtoto?! Kwa nini mimi na wewe tusikutane Steers ili na sisi tuje tutoe show kama hili hapa jamvini?

We utajifanya ulikuwa nje unasomea Unahodha wa meli ili tusirudie yaliyokwisha semwa
 
Last edited by a moderator:
nashukuru sana.ila unajichosha bure.ujifunze adabu.mwanaume kukosa busara kichwani ni umaskini mkubwa sana kuliko vyote

Busara? Mie? Ah, we hunijui. Mimi nina busara kuliko mahitaji ya busara ya nchi nzima. Ningekuwa sina busara ungekuta ni mimi ndio nilikuwa na appointment na wewe pale steers.

Punguza hasira, leo umebahatika kukutana na mwanaume wa character yako na huyo si mwingine ila ni Mwana Mtoka Pabaya, siangalii uso, nababua tu. We usijivunge, niPM mimi sikimbii mabaunsa wala bili za sambusa Steers. Black Bat bado mdogo yule hana ubavu wa kuruka na ma-Pilot

Hi baby!
 
nishapata mchumba na kwa kweli ananipenda sana tunafunga ndoa soon june or july!
 
achana nae aliekosa kakosa

Sanda-ka-lawe, Amina!

Mwenye kupata!...Apate!

Mwenye kukosa!.....Akose!

Kipapatio!....cha kuku!

Kuku gani?......Pilot!

Analiaje?....'nilikuwa nje', 'nilikuwa nje'
​

Kweli ilikuwa Sanda-ka-lawe. Umeenda Steers kwa appointment na Black Bat, ukaishia mikononi mwa looser mwingine. Inaonesha huna chaguo, yeyote ambaye angekuwa mbele yako. I wish ungekutana na Heavy Duty Bumpkin Billionare, saa hizi una mimba kudadadeki zako
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom