Ni hekima ukiweka mwenyewe
mhusika aseme ni wewe au sio wewe. Samahani lakini eti una umbo kama
sanamu la michelin.
Hapo kwenye red ngoja nivae miwani yangu ya kutafsri manenoHahahhahahahahhh aiseee humu kuna watu wachache sana wenye akili na kuzitumia angalau 30% yake inamaana mgetomb4n4 mngekuja tuambia
Retired Sister
Black Bat both of you are foolishly mistaken
hapa kuna harusi iko on
the air!
aftena kun watu waliitana hukooo steers sasa sijui ni ipi ile ya mjini
au mlimani city!manake ingekuwa ya mjini si kila mmoja angejificha mitaa
ya blitish kansel af waviziane!
lakini sasa wakenda wazima wazima
mmoja akachelewa!kuchek hiv khaaa!natokea mtu
Kaizer si Kaizer wala
cacico si cacico
si ndo mtu akatoka mita!
basi aliyetangulia kwemye kidate si ndo akachek pembeni si ndo kamwona
klassimeti!
uuuuuwih!si akafaulisha mawaiting charges!
ndoa njiani!
sasa yule mcheleweshwa na mchelewaji wanatupianaje vijembe!
yani ka muumini na ali choki vile!
Umepitwaje mtanange round ya 3
Naona paka mweusi katolewa kwa knock out ya taito ya dada mstaafu.
Kaangushwa chali.
Last time I gugod, ilisema "page currently unavailable"....
Mimi nipo Buzwagi sasa upo apo? Na siye tuna title bana...lol
Yani wewe Kongosho nahisi ulihusika kusaidia shughuli ya mtongozo lolz..
Palipokushinda tu.. Ni planning ya hyo first visit...
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
tobaaaaa!hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
mbavu zangu mie!
Umeonana nae hapo hapo engagement kweli ulipania rubani