retired sister nipo hapa

retired sister nipo hapa

Status
Not open for further replies.
He he he, nikutane na wewe uje unitundike hapa mewata zangu zilivyoning'inia?

He he he, umbea nafanya kama hobi

ahahahhahahhahahah af mewata zenyewe umezivalisha mama nibebe!
ahahahhahahhah konnie mbavu zangu mimi!
 
Hahahhahahahahhh aiseee humu kuna watu wachache sana wenye akili na kuzitumia angalau 30% yake inamaana mgetomb4n4 mngekuja tuambia
Retired Sister
Black Bat both of you are foolishly mistaken

Wewe ndio nakuona fool..
Kwa kushadadia mambo ya wenzako.. Hayakuhusu kwanza niache mimi na Retired Sister wangu. We still in love
Sent from i phone 4s
 
Last edited by a moderator:
mimi sio muongeaji sana. ila mimi ni mtu ninaejiamini sana.kuja kutafuta mchumba hapa kwa huu mtandao sio kwamba nilikuwa nimekosa.Kama nilivosema mimi nimekaa nje sana. sikupenda kuwa na mahusiano na wazungu. pia class yetu wanaigeria ndo walikuwepo na other guys wa uganda. na mimi sikupenda kabisa hizo figure.my wish ilikuwa ni kupata home boy! ila sina shida yoyote kama ni uzuri ninao sana anzia kichwani hadi unyayo.
huyo anaesema aliniona nadhani alishtuka maybe hajawai kuona binti mzuri kama mimi.akadhani amekufa yupo mbinguni anaona malaika! mimi najiamini sana sina kasoro yoyote na ndo maana nilikuwa na confidence ya kuja hapa public najua nina sifa zote za kuwa mwanamke sio kimwili tu hadi kichwani.... nisingekuwa pilot!

aisee!atakufa maskin boya huyo aliye jishaua
 
Hivi hata ungo wa usiku si ni ndege?

Ujue uzuri wa kiswahili hatutofautishi bird na eroplane, zote ni ndege tu.

Anayeendesha kunguru anaendesha ndege, anayeendesha boeng naye aanaendesha ndege

Basi raha tupu

Sio mchina peke yake, kwenye moja ya vijiji huko Kenya kuna kijana kaunda helkopta ila kazuiliwa kuirusha mpaka mamlaka husika iikague. Ila ina uwezo wa kuruka umbali wa futi 6 tu kwenda juu! Kwa hiyo mabilionea na mapilot lazima wataongezeka.
 
Uzuri huyo ana suti yake from manufakchara

Na zile nywele zake ntapendezaje?

EMT ndo mpango mzima!
kwanza kuna suti moja hiv natka nimchunuku!
sasa na yeye ole wake asitokee!
 
Last edited by a moderator:
kwa vile nilikutumia picha zangu weka hapa watu waamue!
You guys are so funny! Mambo yenu ya sirini huko imekuwaje yamerudi hapa JF? Kila mtu anajaribu kumuumbua mwenzie? Si mngeendelea kupigiana simu na kuelezana ukweli hukohuko? Mmmh, sasa sisi tumeambiwa wewe una sura na umbo ambalo linakufanya uonekane dume si dume blabla... huku wewe ukituaminisha kwamba jamaa ni mshamba na ana mambo ya kizamani. Mnaonaje mngetunziana hizi siri huko huko? Kila wanaokutana na kushindwana huko wakija kushitakiana hapa JF, kuna watu watatupa ID zao kwa kuogopa aibu.
 
Wewe ndio nakuona fool..
Kwa kushadadia mambo ya wenzako.. Hayakuhusu kwanza niache mimi na Retired Sister wangu. We still in love
Sent from i phone 4s
kheee!
Kongosho tatizo lako!ukiulizwa kazi unayofanya unabaki kusema we ni mama ntiz,mwenzio mi siku hizi nasema mwanasheria nina law chamber yangu!
ahahahhahah chezeyz pilot wewe!
lazma mtu akili imkae sawa!
 
Last edited by a moderator:
Na mie nagombea u-pilot aisee
Kumbe hata kama una umbo baya linabadilika?

kheee!
Kongosho tatizo lako!ukiulizwa kazi unayofanya unabaki kusema we ni mama ntiz,mwenzio mi siku hizi nasema mwanasheria nina law chamber yangu!
ahahahhahah chezeyz pilot wewe!
lazma mtu akili imkae sawa!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom