Kutokuwa na maisha ndiyo peace. Hatasumbuliwa na natatizo ya maisha tena.Nimekuuliza which peace you wish her by the way? Unaamini kuna maisha mengine baada ya kufa?
NB: Mungu ampe pumziko jema mpendwa wetu let her soul rest in eternal peace
Anakataa anasema kuwa RIP sio religious based wish kwa maana haihusiani na Mungu naJamaa kajichanganya ndio maana kapanic.
Mkuu ni kama changamoto za mambo ya uzazi zimekua nyingiDah,hii ya Mama kufariki kuacha mtoto ishatokea mtaani kwetu
Mnoo yaani nimesikitika kuna ahadi yangu kweke sikuwa nimeitimiza.Inauma sana!
Kwanza ngoja nikapate bia funda tatu kwa kumbukumbu na heshima ya valentina
Sawa mkuu ngoja nifanye nimeelewa tusiharibu uziKutokuwa na maisha ndiyo peace. Hatasumbuliwa na natatizo ya maisha tena.
Hataumwa tena. Hatasikia njaa tena. Hataumizwa tena.
Huelewi wapi?
Fact! 2080 wote humu tutakuwa marehemu.2080 wote humu tutakua tumekufa tu , hata sio mbali ni swala la muda tu
Ulikuwa umejificha wapi mkuu Ngoda?Apumzike kwa amani Valley binti mkarimu na Mpole sana.
Nitaimiss ile sauti yake ya upole yenye utulivu mwingi.
Aliunganisha wana JF wengi, alijali shida za wengine.
Najua huwezi kuelewa kwa sababu umekariri mambo kwa muda mrefu.Sawa mkuu ngoja nifanye nimeelewa tusiharibu uzi
Aisee pole sana kwa FamiliaMimi. Sina maneno mengi ya kuandika ilaa nima huzuni kubwa juu ya taarifa ya msiba juu ya mpendwa wetu Valentina [emoji24][emoji24]
Wengi wetu tunamjua kwa kuunganisha watu na kujenga upendo katikati ya chuki na hasira, lakini leo Mungu amempenda zaidi.
Nitatoa updates kadri nitakavyojaliwa.
Kwahiyo RIP ni kumtakia mtu aliyekufa amani ya kuoza vizuri na taratibu kugeuka mchangaNajua huwezi kuelewa kwa sababu umekariri mambo kwa muda mrefu.
Kabisa ni suala mda tuFact! 2080 wote humu tutakuwa marehemu.
This is a strawman argument logical fallacy.Kwahiyo RIP ni kumtakia mtu aliyekufa amani ya kuoza vizuri na taratibu kugeuka mchanga
Wewe ndio umesema ama sio muungwanaThis is a strawman argument logical fallacy.
It is also a false dichotomy logical fallacy.
Straight to ignore list.Wewe ndio umesema ama sio muungwana
Ukisha amini kua kuna kurest baada ya kifo,unakua umesha jiingiza kwenye imani ya kuamini kua there's life after death,na hapo Mungu kisha husika tayari.Anakataa anasema kuwa RIP sio religious based wish kwa maana haihusiani na Mungu na
Jamaa kani ignore nimepga kwenye mshono kaamua kula majaniUkisha amini kua kuna kurest baada ya kifo,unakua umesha jiingiza kwenye imani ya kuamini kua there's life after death,na hapo Mungu kisha husika tayari.