TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

Dah. R.I.P
 
Dah. R.I.P
 
Hii ni mara zaidi ya pili nakuona unahangaika since nikwambie una wivu juu ya likes za Numbisa.
The door is open.. pumzika unapostahili

Kama humjui Valee. Nikwambie tu, ungebahatika kukaaa nae hata robo saa ungejua ni namna ipi alikuwa mwema.

Chai.

Mtu mwenye uchungu hawezi kuandika gazeti lote hili.

Hapa umeandika upate attention kwamba na wewe unajuana na marehemu nje ya JF.
 
Oooh πŸ˜”πŸ˜”
 
Acha kulazimisha mambo we nyumbu wa Lake Manyara.

Wapi nimetaja eternal?

Eternal ni nini? Na kwa nini Mungu awe na monopoly ya eternal?

Acha kuchafua uzi wa msiba kwa uharo wako hapa.
Nimekuuliza which peace you wish her by the way? Unaamini kuna maisha mengine baada ya kufa?

NB: Mungu ampe pumziko jema mpendwa wetu let her soul rest in eternal peace
 
Kwani umekuwaje siku hizi? Sio yule amazing hance wa tunda....hii character mpya haikupendezi, marafiki/ rafiki ako wa kitambo sijakuzoea hivi. 🀝
Stress za maisha, msongo mkubwa wa mawazo, jobless, poverty ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…