TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

Hakuna nyakati ngumu, kama wakati wa kufuta namba ya simu ya mmoja wa marafiki uliozoeana naye baada ya kutangulia mbele ya haki

Naanzaje kufuta mawasiliano yako sasa πŸ™Œ

I can't hold tears on this 😭😭

Pumzika kwa amani rafiki, sote ni wa mavumbini 😭😭😭😭
 
Oooh jamani 😒😒😒
Apumzike kwa amani Valentina, sijamuona kitambo hapa....
 
Ni ngumu sana lakini binafsi sioni haja ya kufuta.

Apumzike kwa amani valentina, alikua mtu mwema sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…