TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

Whaat?!!!
 
Mungu wanguπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­
 
Jamani jirani Valentina 😭😭
Mrembo wetu ehee tangulia mama. Sisi sote ni wa mavumbini, na mavumbini tutarudi.
pole nyingi pia kwa Hornet na TGP wote 😭
Valee wewe!! Tutakumiss sana mrembo wetu, ulikuwa na moyo wa kipekee sana. Umejawa upendo wa kweli sana. Ulinifunza kuachilia na kumsamehe mtu niliekuwa namchukia kupita neno lenyewe chukiπŸ₯ΉπŸ₯Ή

Dear Hornet kama Em…. Ana nguvu alog in awe anatype feedback hapa. Kama msiba upo Maghorofani au vp 😭😭😭
 
R.I.P
Nakumbuka ujio wake na baadhi ya members wa kike humu ndani, walikuwa wanachangamsha sana MMU.
Walituvuta hata akina sie tuliokuwa hatupendelei sana kupitia kule hapo kabla.
 
Oh Lord! Valley wangu jamani! Nimeishiwa na maneno.

Pumzika kwa amani my love, my heart is in pieces!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…