TANZIA Rest In Peace Frank Shega aka Jeda (academic conquer)

Hv Tanzania One ndo nn? Wana mchango gani kwa taifa?
Huwa wanatumika sana academically, ukichunguza walimu wengi wa vyuo na maprofesa walikuwa vipanga mashuleni.
Binafsi shega amenifundisha saana pale Iyunga (alinitangulia kidato). Kwahiyo unaposema wana mchango gani kwa taifa wakati wewe, mwanao na ndugu zako inawezekana mmetolewa ujinga na hao hao inakua sio sawa.
Ulazwe mahala pema kaka Shega. Gone too soon
 
Mkuu pole sana bro shega niliwahi kukaa nae bweni moja pale iyunga huyu jamaa kasaidia wengi sana kitaaluma kwake vit vilikuwa kawaida .

R.IP bro shega
 



Frank Shega A.k.a JEDA aliwahi kushika nafasi ya tatu (3) Taifa akitokea shule ya sekondari ya wavulana Tabora (Tabora Boys) katika mchepuo wa PCM, Wana CoET UDSM ni mashaidi hata AUDe Kileo ni shaidi wa hili maana ni maclass mate UDSM katika course ya BSc. in Telecommunication Engineering.
Mtoa mada kusema ni mmoja wa ma Tanzania One hajakosea kabisa.

Lengo la mtoa mada ni Rambi Rambi na kuwafahamisha Shega ni nani, pia alikuwa ni mfanyakazi wa Vodacom mpaka umauti unamfika usiku wa kuamkia jana jumapili.

tunaomba tushirikiane kwa pamoja kwa hili suala na mwili wa marehem utaagwa leo katika hospital ya Lugalo kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa sita na saa saba mwili wa marehemu unatarajia kusafirishwa kuelekea Mbalizi-Mbeya kwenye nyumba yake ya milele.
ukiwa na nafasi tafadhali fika, shughuli ni watu na watu wenyewe ndo nyinyi.

Rest in Peace Shega.
 
Dah chama langu boyzia nimemaliza 2003 PCM. Majitu yenye akili yanatangulia yaliyopata zero yanadunda kitaaa....kweli Mungu ndiye anayejua siri ya yote.
Kwa Mungu wote wapo sawa acha ujinga .....kwa maana

ni yy huyo aliyewapa wengine gunia la sukari....ndie huyo

huyo kawanyima wengine walau kijiko cha sukari...na hii

yote ni kwa makusudi yake ....kadri anavyoona inafaa.
 
Mungu fundi bwana yaani tm TO kaondoka lakini wazee wa wastani wa c wapo Tu kwa neema za bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…