Rest in peace Aaliyah

hahaaa! Nataka kujua mkuu

Duu haya bwana sasa ni hivi, umri wa mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80(hii ni kwa majibu wa maandiko matakatifu) kwahiyo ukiishi zaidi unaishi miaka ya ubatili na ukifa kabla ya hapo hayo si mapenzi ya Mungu, hilo ni kafara... Kafara laweza kuwa la Chochote ajali kisasi utajiri kijicho wivu fitina fulimasoni, Rohombaya nk nk
 
Back
Top Bottom