1979Magufuli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 438
- 1,752
Moja ya mameneja mwamba sana na waliokuwa very strategic miaka ya 1990 pale unyamani ameumaliza mwendo leo.
Simba ile ya akina marehemu Ramadhan Lenny, Edward Chumilla, Rafael Paul, Mosses Mkandawile, Aston Pardon, Juma Limonga, Sunday Juma, Omary Hussein Kevin Keegan, Malota Soma Ball Juggler ilikuwa ni burudani tosha.
Nakuombea kwa mwenyezi mungu akulaze mahali pema peponi.Amin.