response to ushauri about the closed thread

response to ushauri about the closed thread

LAbda uniambie ile ID inamilikiwa na 'jopo la watu' na si mtu mmoja kama ninavyodhani.

Hivi unadhani mtu mmoja anaweza kusaidia kufikia sulihisho ukilinganisha na jopo la wana MMU wote??

Kwanza, kasomea kutoa hiyo kanseling?

Kama watu wameshindwa kumuamini kwa ID yake ya siku zote, ajue hafai

Kwa nini atake wamuamini kwa ID mpya sasa? Kwanza yeye anapata faida gani?

Angalau angetumia ID yake ya siku zote, ningejaribu kumwelewa.

Intention yake ni ipi? Kama ni genuine kutoa ushauri, kwa nini hakuja na ID yake ya mwanzo?
you're a lot harsher than I was 🙂 but i see your point. anyways ngoja nione hii itafikia wapi
 
Hiyo ndio point yangu
Uaminifu unajengeka hauji tu from Mars
you're a lot harsher than I was 🙂 but i see your point. nikitaka PM advice ntamuuliza some1 reputable/ninayemjua, au ntatumia fake ID to ask jamvini. anyways ngoja nione hii itafikia wapi
 
Nimeifuatilia hii thread kwa kusoma comment moja baada ya nyingine lakini sijaelewa chochote.

:crying: :crying: :crying: :crying:.
 
Kipi bora nno kupacha USHAURI/ maoni hadharani au PM? Sabu mie yalionikumba si machache vo! Nkianza kuandika ntamaliza kurasa zote ziliopo vo.
 
Dalili ya mvua ni mawingu. Kile ninachokiona hapa ni kwamba mjadala umekua mrefu sana na naona unaelekea kuleeeeeeeeeeeeee kwa USHAURI wa PM....lol
 
Back
Top Bottom