Blaine
JF-Expert Member
- Jan 11, 2012
- 2,259
- 1,657
mtu anapokiuja kuomba ushauri hapa jf anategemea kupata opinions za watu tofauti sio just mmoja. idea yako ya kupatwa na "jambo gumu" mpaka unashindwa kuliandika hapa ni hadithi. zimekuwepo mada za kuomba ushauri kuhusu kuibiwa mke/mume, kunyanyaswa, bullying, same sex attraction etc na watu walifunguka na kupewa advice. prominent members like gfsonwin, Kongosho, The Boss, Kaunga nk wameandika nyuzi nzito za majaribu waliyokutana nao na kusaidiwa. sasa ni "jambo gumu" lipi hilo ambalo haliongeleki hapa JF hadi uandike uzi wa ku-volunteer kutoa ushauri by PM. ni wazo decent lakini hakuna mantiki, ni rahisi kwa yoyote kuweka ID mpya na kuomba advice kwa "jambo gumu" na kupokea opinion nyingi kuliko just kum-PM a random person asiyejulikana.
sorry kama nimekukwaza bwana/bibi USHAURI
sorry kama nimekukwaza bwana/bibi USHAURI
Last edited by a moderator: