FATHER OF HISTORY
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 947
- 669
Kiongozi nimefurahi sana ulivyofafanua concept ya CONCEPTUAL FRAME WORK,nicheki kwenye email:mamboleongoroto@yahoo.com tucheki mambo mengine privately
hello Rafiki, this is very good question
actually conceptual framwork ni research frame ambayo mainly inatoka katika reaserch objective zako na research questions bila kusahau literature review ulizopitia.
simply research objective=research question=variables za conceptual framework, nitakupa mfano mdogo
research objectiv
1. to evaluate how security affect customer satsfactions
2. to evaluate how training affects customer satisfactions
3. to evaluate how cost affects customer satsfactions
then research question must be this way
1. how do security affects customer satsfactions
2. how do training affects customer satsfactions
3. how do cost affect customer satsfactions
now from then conceptual fram work must be this way simply
View attachment 576710
mchoro wako si sawa, independents variable na dependents variables zote ni inputs , conceptual framework lazima iwe na inputs process then output, hapo haupo sawa
Baadhi ya reseachers wanakataa kitu ya convinient sampling wanataka useme consecutive samplinkama accessibity ya sample size yako ni very difficult unashauriwa tumia convinience sampling. simply ni sampling technique inayotumia pale inapokuwa difficult kupata sample katika population. mfano mdogo ni hivi unaharaka sana na sample yako ni wagonjwa wanaofika hospitali asubuhi unaweza chagua wagonjwa tano wa mwanzo basi
Baadhi ya reseachers wanakataa kitu ya convinient sampling wanataka useme consecutive samplin
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Gonga, asante kwa uzi mzuri ingawa ulitaka kuharibiwa na watu wachache. Kimsingi mimi nataka kujikita katika eneo la Monitoring and Evaluation. Hebu nisaidie kwa uzoefu wako wa research nafikiri unaendana na hitaji langu. Ni maeneo gani muhimu ya kuzingatia ili niwe bora katika kada hiyo? Unaweza kunipa mawasiliano yako ili unisaidie zaidilater kwa mtu yeyote anayetaka statistical Package for social science (SPSS) free nitumie email yako nitakufowardia
Acha u trump wewe.unatupoteza .pua yakoKama umezaliwa na kusomea sehemu zisizo na standards unaweza kusema hivi kirahisi tu.
Else, kama umefika level ya kuandika dissertation halafu hujui hata ku spell dissertation unacheza.
Sent from my Kimulimuli
Slopoke.Acha u trump wewe.unatupoteza .pua yako
Tupia number nikutafute nina shida ya reseachHello!
Tafadhali naomba naomba wale wote wenye maswali kuhusu research proposal, dissertations, data analysis, SPSS na mengine yoote yanayohusu academic research uliza hapa!
Pia maswali yanayohusu
1. research methodology
2. regression models
3. parametric tests
4. hypothesis developments and test!
5. conceptual framworks
6. na mangine yoote
Ni free! lengo ni kusaidiana maana moja ya challenge wanazopata wanafunzi ni 'RESEARCH PAPERS'
Mada nzuri Ba inaeeza kusaidia udadi ya waafrica kufanya copying and plagiarism
Kwani Nigeria anaongoza kwa plagiarism huku tz tukiwa nafasi ya tatu Africa
Numeona wakp making kwa master's/postgraduates students lakini kwa undergraduate hakuna kitu hicho sababu supervisor ni wachache kulinganisha na studentshabari yako! Kingdavi.ii hivi sasa vyuo vingi wanasoftware ambazo zinacheck Plagiarism before submission! Hivyo kwa kiasi kikubwa tatizo hili limeanza kupungua kulinganisha na kipindi cha awali!