Reseach proposal Dissertation, data analysis special thread

Reseach proposal Dissertation, data analysis special thread

Maneno ya kijinga ni kukataa kukosolewa unapokosea.

Mbona mmesahihisha hiyo heading ya thread kutoka "dessertation" kwenda "dissertation" sasa?

Kukataa kusahihishwa ni upumbavu, na hata usome vipi, kama unakataa kusahihishwa wewe ni mpumbavu tu.
basi na wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wenzio. nimesema hiyo link unasemaje, hujajibu
 
Maneno ya kijinga ni kukataa kukosolewa unapokosea.

Mbona mmesahihisha hiyo heading ya thread kutoka "dessertation" kwenda "dissertation" sasa?

Kukataa kusahihishwa ni upumbavu, na hata usome vipi, kama unakataa kusahihishwa wewe ni mpumbavu tu.
Wewe ni NGUIN nas kubishana na Nguin per se iko shida!
 
Hapana, labda kama mna shitty standards.

Mtu anayeenda kufanya dissertation anatakiwa kujua spelling za dissertation, otherwise hiyo elimu ni a sham.

Science si excuse.

Siwezi kutarajia uandike kama Francis Scott Fitzgerald, lakini ku spell "dissertation" is a freaking low bar.

And if you use science as an excuse to not know how to spell "dissertation" you might miss searching for journals about "dissertation" in a legacy system, just because you write "dessertation" instead of "dissertation".

Mtu anayeongelea habari hizi za dissertation anatakiwa kuwa msomi. Akisahihishwa ashukuru ajifunze.

Kwa nini unatetea ujinga kwa kisingizio cha science?

Mkuu umenena vema sana maana anataka kudanganya watu kuwa science haiangalii lugha. Nina wasiwasi kama yeye ni mwanasayansi kweli. Mbona mimi wakati nafanya dissertation yangu (MSc. Maths) supervisor alikuwa anacheck kila kitu kuanzia technical part mpaka lugha yenyewe.
 
Ni kujifariji kwa watu ambaohawana standards walaintellectualhonesty tu.

Niutamaduniwa kutopenda kukosolewa,utamaduni ambao msomiyeyote anatakiwa kuwa kinyume nao.

Msomi yeyote anatakiwa kujua peer review maana yake ni nini na kwamba mtu anayekukosoa anakujenga.

Sasa mtu yupo katika research level halafu hata spelling hajui,unamfundisha ili kesho na keshokutwa asiende ku submit papers zake na spelling errors watu wazitupilie mbali, anakushambulia!

Ndio wasomi wetu wanavyofundishwa hivi?
 
They say to err is human. Sina tatizo na typographical errors.

Hata mimi huwa nazifanya hizo.

Hii lugha si yetu. Karibu wote tumejifunza kama lugha ya pili. Wengine ya tatu.

Sina tatizo na error.

Tatizo langu ni huu utamaduni wa kusema sisi ni wasomi wa sayansi kwa hiyo kukosea kuandika lugha ni sawa.

Hii ni habari ya ujinga kabisa.

Watu wanakumbatia ujinga na kukataa kukosilewa kwa kisingizio cha sayansi.

Unaweza kwenda sehemu ukaandika kitu kina sayansi nzuri tu, lakini kwa sababu umekosea lugha, watu wakakuona ovyo hata wasikusikilize kwa umuhimu.

Sent from my Kimulimuli
*Kukosilewa ndio nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Your objectives should be in SMART form
S-significant,stretching,specific
M-measurable,meaningful,motivational
A-attainable,acheivable,acceptable
R-realistic
T-time based
Sasa we naona umeandika kama maembe tu

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Yeye anakwambia wanasayansi ndio wanapaswa kukosea na bado waonekane wapo sahihi.

mafisadi hayana rangi
 
pumbavu, ndo maana waafrika hatuendelei, tunajifanya tunajua kukosoa, ni ujinga na upumbavu, walioelewa wameelewa, andaa thread yako basi kama unafikiri unajua sana!
Mada nzuri sana mkuu. Wasaidie watu tu.

Wasikutie joto wanaotaka correct spelling. Software zote za kuandikia thesis/dissertation zina spellcheckers.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ndiyo wale wale wanaosema ukisoma sayansi hutakiwi kujua grammar na matamshi. Hata lugha ya malkia kuongea ni tatizo, mwisho wa siku ni kujifungia ndani na kutoa excuses za kutotaka kusafiri.
Jamaa tupo ki academic zaidi, siasa zinakukaje jamaa? Yule swahiba wako anaogopa kusafiri wazungu watamueka bond!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vipi sasa researcher anaweza kuondoa bias kwa kutumia Convenience sampling?

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda nisaidie kidogo wakati matusi yakivuma. Mkuu gango2 sahihisha kama ninapotosha.

Ondoa bias kwenye Convenience Sampling kwa kurudia (repeated conv. sampling)

Tukichukua ule mfano wa mkuu gango2 wa kuinterview watu 5 wa kwanza kufika. Kuondoa bias:

1. Interview watu 5 wa kwanza kila siku kwa siku 7 za juma. Au.

2. Randomize kundi unaloli-interview. Yani leo interview 1-5 wa kwanza, kesho interview 15-20, keshokutwa interview 40-45. Randomize which group of 5 you interview, say for one week.

3. Katika siku moja pick say 5 people at random.

Your results will still be biased slightly because you don't have a known sampling frame (population) but it is better than just taking the first 5 and making inference based on their responses.
 
Napenda kufahamu jinsi gani ya kudevelop statement of the problems

Sent using Jamii Forums mobile app

hello Bahatim, vizuri

kwanza kabisa inabidi ujue statment of the problem huwa inamaanisha nini katika paper yako! actually baada ya kuandika background of your research paper and back ground of research problem you need now summarize what is real the problem, this is what is called 'research problem'. sasa good research problem should follow the following sequences

1. you must explain the important of the subject matter simply then
2.elaborate how different effort are being done/taken to make it being there or persist
3. show symptoms of the problem (what are the sign that despite the subject matter being good, but there are some underperfomance
4. then elaborate the efforts to remove those symptoms of the problem
5. elezea dispite those effort in (4 above) still the problem persist
6. conclude what is your research going to do!

mfano paper yako inahusu 'impacts of microfinance in poverty eliminations' then good statement of the problem should have

1. elaborate importance of microfinace to povert elimination
2.elaborate different effort being done to put microfinance efficient (These two should have one paragraph)
3. shows the symptoms that still kuna tatizo linaonekana lipo (one paragraph)
4. elaborate effort to remove those symptoms that are being taken (one paragraph)
5. DISPITE those effort done ....... elaborate how still problem is there (GAP)
6. explain how your paper is going to bridge that gap (last two one paragraph)

KUMBUKA KILA KITU HAPO JUU LAZIMA UWEKE SUPPORTING REFFERENCES, I MEAN UTAFUTE LITERATURES TO BACK UP YOUR WORK

(Sorry nimechanganya english na kiswahili)
 
Tatizo nini mnashindwa kuelewana wazee? Mi naomba madesa mwenye nayo antumie...nataka nipige proposal!
Mwenye madesa ya BA- Marketing... Anicheki humu
Denzgonzy@gmail.com

hello Extrovert ! Je ni eneo gani kwa marketing unataka kufanyia research, naweza kukutumia sample papers lakini specify area either 'marketing of services' 'service quality' 'international business' 'consumers behaviours' etc
 
Nipe za consumer behaviours boss,
 
hello Bahatim, vizuri

kwanza kabisa inabidi ujue statment of the problem huwa inamaanisha nini katika paper yako! actually baada ya kuandika background of your research paper and back ground of research problem you need now summarize what is real the problem, this is what is called 'research problem'. sasa good research problem should follow the following sequences

1. you must explain the important of the subject matter simply then
2.elaborate how different effort are being done/taken to make it being there or persist
3. show symptoms of the problem (what are the sign that despite the subject matter being good, but there are some underperfomance
4. then elaborate the efforts to remove those symptoms of the problem
5. elezea dispite those effort in (4 above) still the problem persist
6. conclude what is your research going to do!

mfano paper yako inahusu 'impacts of microfinance in poverty eliminations' then good statement of the problem should have

1. elaborate importance of microfinace to povert elimination
2.elaborate different effort being done to put microfinance efficient (These two should have one paragraph)
3. shows the symptoms that still kuna tatizo linaonekana lipo (one paragraph)
4. elaborate effort to remove those symptoms that are being taken (one paragraph)
5. DISPITE those effort done ....... elaborate how still problem is there (GAP)
6. explain how your paper is going to bridge that gap (last two one paragraph)

KUMBUKA KILA KITU HAPO JUU LAZIMA UWEKE SUPPORTING REFFERENCES, I MEAN UTAFUTE LITERATURES TO BACK UP YOUR WORK

(Sorry nimechanganya english na kiswahili)
Asante nimekuelewa vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom