Uko sahihi kabisa ndugu. Kuna watu wanatukana wenzao. wewe toa hoja. Mwambie kuwa hapa si sahihi kwa sababu 1,2,3 .....etc! Sio unamwita mwenzako mjinga. Ukinitukana nitakutukana bila kujali ban!Uzi ulianza vizuri naona ushaingiliwa na mdudu sasa, kuna wadau tulikuwa tunafaidi, basi rekebishaneni kwa utaratibu ili tuendelee kujifunza!
Kama umezaliwa na kusomea sehemu zisizo na standards unaweza kusema hivi kirahisi tu.Kuwa mpole, usitukane, huna haja ya kusema maneno kama ujinga. Jenga hoja.
Nadhani ni minor kutegemea subject matter/context ya unachokifanya. Kama ni somo la lugha, uko sahihi, lkn kama ni science, I will never punish the student for that. Nitakwambia rekebisha. Ikiwa lugha nitaku punish (kukunyima marks) for that spelling mistake, sitakwambia rekebisha.
Naomba uangalie link hii utuelimishe kwa nini wametumia dessertation usiyoitaka. Be calm please
Dessertation Writing | Jumbo Essays
Waafrika hatuendelei kwa sababu hatutaki kukosolewa.
pumbavu, ndo maana waafrika hatuendelei, tunajifanya tunajua kukosoa, ni ujinga na upumbavu, walioelewa wameelewa, andaa thread yako basi kama unafikiri unajua sana!
Ni tatizo kubwa sana. Si lugha tu.Hao ndiyo wale wale wanaosema ukisoma sayansi hutakiwi kujua grammar na matamshi. Hata lugha ya malkia kuongea ni tatizo, mwisho wa siku ni kujifungia ndani na kutoa excuses za kutotaka kusafiri.
Ujinga si tusi. Ni sifa ya kuonyesha mtu hajui kitu fulani.Uko sahihi kabisa ndugu. Kuna watu wanatukana wenzao. wewe toa hoja. Mwambie kuwa hapa si sahihi kwa sababu 1,2,3 .....etc! Sio unamwita mwenzako mjinga. Ukinitukana nitakutukana bila kujali ban!
alikua anatoa mfano tu kujaribu kueleza kwa wale wanaojifunza brotherYour objectives should be in SMART form
S-significant,stretching,specific
M-measurable,meaningful,motivational
A-attainable,acheivable,acceptable
R-realistic
T-time based
Sasa we naona umeandika kama maembe tu
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Mama yangu kufikia kunizaa mimi tu tayari ana akili za kutosha, usirudie tena kumhusisha, nitukane mimiMjinga mama yako, huwa sitaki matusi jibu hoja, rekebisha siyo matusi.
Thank youhello Rafiki, this is very good question
actually conceptual framwork ni research frame ambayo mainly inatoka katika reaserch objective zako na research questions bila kusahau literature review ulizopitia.
simply research objective=research question=variables za conceptual framework, nitakupa mfano mdogo
research objectiv
1. to evaluate how security affect customer satsfactions
2. to evaluate how training affects customer satisfactions
3. to evaluate how cost affects customer satsfactions
then research question must be this way
1. how do security affects customer satsfactions
2. how do training affects customer satsfactions
3. how do cost affect customer satsfactions
now from then conceptual fram work must be this way simply
View attachment 576710
Typing error zipo mkuuDessertation au dissertation?
Ukifikia level ya kufanya research na kuandika dissertation halafu hujui ku spell neno lenyewe "dissertation" ni hatari sana.
Kwa sababu unaweza kuwa unajua mengi sana, ukashindwa spelling tu, mtu anayeangalia kazi yako akakushusha daraja kwa sababu hujui spelling.
Wewe unamaendeleo gani ya ujinga chuki na wivu wakitoto unaouonesha hapa. Swala lakukosea spelling huwalinatokea. Ungetoa masahihisho.Waafrika hatuendelei kwa sababu hatutaki kukosolewa.
Sio kwa sababu tunajifanya tunajua kukosoa.
Wewe usiyetaka ukosoaji ndiye mpumbavu.
Unakumbatia makosa kwa kukataa ukosoaji.
Sent from my Kimulimuli
They say to err is human. Sina tatizo na typographical errors.
Wewe unamaendeleo gani ya ujinga chuki na wivu wakitoto unaouonesha hapa. Swala lakukosea spelling huwalinatokea. Ungetoa masahihisho.
Mkuu gango2 hongera kwakuanzisha Uzi huu kwani ni sehemu yakujifunza kwa wanafunzi wengi. Usikatishwe tamaa na nawapumbavu kama huyu
Aah we nibwege ni nzi unasumbua watu wenye akili wanaofatilia pindi. Tushajua wenimpumbavu mwenyechuki TULIAMasahihisho sijatoa? Unajua kusoma we guluguga?
Wewe hujui Kiswahili. Achilia mbali Kiingereza.
Hujui tofauti ya swala na suala.
Toa tongotongo zako kwanza za kutojua kiswahili kabla ya kunikaribia mimi.
Usije kunipakaza uchafu na ushamba wako.
Unafundishwa kitu bure halafu unakuja mbogo?
Sent from my Kimulimuli