Reseach proposal Dissertation, data analysis special thread

Reseach proposal Dissertation, data analysis special thread

Aah we nibwege ni nzi unasumbua watu wenye akili wanaofatilia pindi. Tushajua wenimpumbavu mwenyechuki TULIA
Wenye akili hukubali na kushukuru wanaposahihishwa.

Wapumbavu wakisahihishwa huwa mbogo.

Hii ni kanuni ya msingi kuijua ukitaka kuwa mwenye akili.

Na ni sababu kubwa unaweza kukuta mtu ana Ph.D lakini mpumbavu.

Sent from my Kimulimuli
 
Oi kausha basi.Haya tumeshajua una PhD alafu mpumbavu.
 
Oi kausha basi.Haya tumeshajua una PhD alafu mpumbavu.
Mpumbavu wewe usiyetaka kufundwa.

Halafu usitake nikutusi hapa.

I don't do it. I overdo it.

Take that as fair warning.

Sent from my Kimulimuli
 
Hello!

Tafadhali naomba naomba wale wote wenye maswali kuhusu research proposal, dissertations, data analysis, SPSS na mengine yoote yanayohusu academic research uliza hapa!

Pia maswali yanayohusu
1. research methodology
2. regression models
3. parametric tests
4. hypothesis developments and test!
5. conceptual framworks
6. na mangine yoote

Ni free! lengo ni kusaidiana maana moja ya challenge wanazopata wanafunzi ni 'RESEARCH PAPERS'
Napenda kufahamu jinsi gani ya kudevelop statement of the problems

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpumbavu wewe usiyetaka kufundwa.

Halafu usitake nikutusi hapa.

I don't do it. I overdo it.

Take that as fair warning.

Sent from my Kimulimuli
sasa unaona ulivyo mpumbavu. kwahiyo hapa nisehemu yakutusi. punguza chuki wewe acha watu waendelee kujifunza.
 
sasa unaona ulivyo mpumbavu. kwahiyo hapa nisehemu yakutusi. punguza chuki wewe acha watu waendelee kujifunza.
Mpumbavu ni wewe usiyetaka ukosoaji.

Unakumbatia ujinga. Huwezi kuerevuka.

Wewe mpumbavu kwa mantiki.

Mimi unaniita tu mpumbavu.

Sent from my Kimulimuli
 
kama accessibity ya sample size yako ni very difficult unashauriwa tumia convinience sampling. simply ni sampling technique inayotumia pale inapokuwa difficult kupata sample katika population. mfano mdogo ni hivi unaharaka sana na sample yako ni wagonjwa wanaofika hospitali asubuhi unaweza chagua wagonjwa tano wa mwanzo basi
But it is bias...and u can't generalize results to the general population. Right?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpumbavu ni wewe usiyetaka ukosoaji.

Unakumbatia ujinga. Huwezi kuerevuka.

Wewe mpumbavu kwa mantiki.

Mimi unaniita tu mpumbavu.

Sent from my Kimulimuli
wewe niwakupuuzwa tu.
 
wewe niwakupuuzwa tu.
Unaonyesha upumbavu wako kwa kushindwa kunipuuza na kunijibu kwa nukuu.

Mimi ni wa kupuuzwa unadai. Wewe unajua hilo. Ila umeshindwa kunipuuza.

Kwa sababu wewe ni mpumbavu.

Sent from my Kimulimuli
 
Tatizo nini mnashindwa kuelewana wazee? Mi naomba madesa mwenye nayo antumie...nataka nipige proposal!
Mwenye madesa ya BA- Marketing... Anicheki humu
Denzgonzy@gmail.com
 
Uzi ulikuwa mzuri sana. Tatzo ni kujua mingi kwa baadhi ya members..! Yaani umuhimu wa uzi umepotea kwa kuwa tu kuna watu wanataka waonekane wanajua kuliko wengine.
Inasikitisha sana. Mleta mada naomba ujibu swali la bahatim kuhusu statement of the problem.

Pamoja na kwamba nimemaliza chuo, napenda sana research process. Kuna baadhi nayajua na kuna mengine siyajui so huu uzi ndo ulitakiwa kuziba hilo gap..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umezaliwa na kusomea sehemu zisizo na standards unaweza kusema hivi kirahisi tu.

Else, kama umefika level ya kuandika dissertation halafu hujui hata ku spell dissertation unacheza.

Sent from my Kimulimuli
Inaonekana wewe ni "NGUIN", in science we care less about spellings that can be rectified without losing the context of your scientific publication.. your paper will not be rejected because of spelling mistakes if it is out of context. You will be guided where to send your publication for English scrutiny! But if it contains science out of context, even if spellings are correct in the entire doc, it will be rejected! If it is a language related publication, may be it can be rejected, I guess!
 
Mama yangu kufikia kunizaa mimi tu tayari ana akili za kutosha, usirudie tena kumhusisha, nitukane mimi

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Ukinitukana nitakutukana tusi lolote. Kila mmoja ana tusi linalomuumiza. Usinitukane jibu hoja yangu. Jifunze kujibu hoja sio matusi! Argument by character assassination is not allowed, nitakutukana tusi lolote bila kujali ban!
 
Mpumbavu wewe usiyetaka kufundwa.

Halafu usitake nikutusi hapa.

I don't do it. I overdo it.

Take that as fair warning.

Sent from my Kimulimuli
mbona unataka watu wakuogope, we nani? Usitukane hutatukanwa. avoid maneno kama mjinga, mpumbavu, ukiendelea kuyatumia utatukanwa kama ulivyotukana.
 
Kama umezaliwa na kusomea sehemu zisizo na standards unaweza kusema hivi kirahisi tu.

Else, kama umefika level ya kuandika dissertation halafu hujui hata ku spell dissertation unacheza.

Sent from my Kimulimuli
ongelea hiyo link niliyokuwekea. mbona unaikwepa. hata kama umezaliwa huko uliko, be it USA , England, kuna watu wanakosea spellings huko huko! Waingereza wana colloquial english, muda mwingine wanaiandika na kukosea hata spellings1
 
Niwakupuuzwa huyo. Achananae.
 
mbona unataka watu wakuogope, we nani? Usitukane hutatukanwa. avoid maneno kama mjinga, mpumbavu, ukiendelea kuyatumia utatukanwa kama ulivyotukana.
Maneno ya kijinga ni kukataa kukosolewa unapokosea.

Mbona mmesahihisha hiyo heading ya thread kutoka "dessertation" kwenda "dissertation" sasa?

Kukataa kusahihishwa ni upumbavu, na hata usome vipi, kama unakataa kusahihishwa wewe ni mpumbavu tu.
 
Back
Top Bottom