Reputation Power.

Reputation Power.

Mr Rocky anasemaje? mi mbona jamani namuongezea charty rep power tu!

eti charty, hebu niangalie basi na kajicho kako hako jamani! as if unasinzia vile!! you do the things i never seen b4!

hii ni nadhani ni rep kubwa sana..

Mhhh nilijitoa kwenye malumbano ya hoja baada ya kuona hapa sio kabisa na niko chumbani badala ya kukaa sebuleni charty na Excel

opss! Am sory shkamoo braza mkubwa wa Excel, Mr Rocky

Marahaba mtoto mzuri sana charty umeninyima nini kunipa shikamooo

mkuu tunaongezeana rep bana.. we unadhani ntamfanya nini mtoto mrembo charty! mtoto mwenyewe nikimwangalia tu nahisi kushiba kabisaaa!! akigeuka sasa, duh!! natamani asifike anakoenda..!! aisee charty ni anga nyinngine kabisa!!

she is ... oh baby!!

:behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mr Rockyyyy!!! how are you brother.. aisee nilikuwa bize sana na jua hili la dalisalama bana!

msalimie sana mrembo charty...
 
Last edited by a moderator:
moonlight! Am vry fine jaman,ndo nimepta mitaa ya kwenu kariakoo kwenye lile duka lako hahah!

hahahaaaa!! mamii una kumbukumbu kama vile umesoma record management!! duh...
 
hata cjielew nimekuona wewe nimekua speechles,mara niamke mara nilale! Dah! Hebu nishaur nifanyaje Excel

you touched me charty.. who taught you this?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom