Missing you dear
Mie mwenyewe huwa natamani kuwapatia baadhi ya watu hiyo kitu ia ndo hivyo tena nashindwa kabisa.
I was looking around, nimegundua wanachit chat ndiyo wana reputation power nyingi sana compared na member wa
Majukwaa mengine..
Wengi wamefikia million wachache sana wamevuka 10million..
My self i got Rep Power : 7535631..
kuna vichwa vingine hapa..
kiwatengu Rep Power : 14808809. (nadhani atakuwa wa kwanza)
farkhina Rep Power : 11342801 (nadhani atakuwa wa pili)
MziziMkavu Rep Power : 10782321 (bila shaka ni wa tatu)
kuna alizidi hapo?
utafiti wangu uko sahihi kabisa huyo Arushaone na BAK hata wewe umewazidi aisee
Rep Power : 8792037 ya arushaone
Rep Power : 9478618 ya BAK
afu cheki ya kwako Excel Rep Power : 10306484..
i was right.
Nimekumisi sana mkaruka, umepotelea wapi??
Baada ya valentine day hujaonekana kabisa jukwaani
I was looking around, nimegundua wanachit chat ndiyo wana reputation power nyingi sana compared na member wa
Majukwaa mengine..
Wengi wamefikia million wachache sana wamevuka 10million..
My self i got Rep Power : 12495752
Updates...
kuna vichwa vingine hapa..
kiwatengu Rep Power : 14808809. (nadhani bado atakuwa wa kwanza)
farkhina Rep Power : 13841961 (nadhani bado atakuwa wa pili)
mimi sasa ndiyo nipo kwenye 3...
Na nne ni Excel Rep Power : 12214483
kuna alizidi hapo?
kwani rafiki ndo kitu gani hicho cha rep power wanafanyaje mpaka wanazipata hizo?
mamii nikwambie hako wanavyokapata?
ni rahisi kama kutuma pm vile!
hebu nielekeze wanafanyaje kupata hiyo kitu?
usijali, ntakupa!
ila ukitaka kumpa mtu, unabonyeza hako kanyota keusi mduara kalikopo baada ya kitufe cha send pm, unabonyeza halafu una-apruvu! baada ya kuapruvu, una add coment!
baada ya hapo, mambo swaaafi kabisa!
try it..