Report card ya wabunge wa Dar: Halima Mdee

Report card ya wabunge wa Dar: Halima Mdee

ANAFAA KUWA WAZIRI WA ARTHI,KUHUSU KAWE LAZIMA ARUDI HAMNA WA KUMZIDI

HALAFU WEWE UMETUMWA NA MBATIA AU RUHUZa??
 
Rais wako nae amefanya nini? Isitoshe unauonekana hutoki jimbo la kawe, ungeanza na mbuge wako wa magamba, tuachie wenyewe mambo ya kawe.
Private life ya mbuge wetu inauhusiano gani na maendeleo ya Kawe?
 
Kuna issues kubwa tano ambazo bado zinamtatiza:
-Migogoro ya ardhi jimboni kwake ni mingi mno. Hajasema mkakati wake ni upi kuipunguza kama sio kuimaliza.
-Miundombinu na hasa barabara kwenda makazi ya wanyonge ni tatizo:
-Barabara za Makongo, Wazo kwenda Madale, Mbopo, MabwePande,...
-Ajira kwa vijana wa Jimbo lake. Sioni ubunifu wake katika hili.
-Soko la Tegeta kuendelea kuwa kero pale barabarani.
-Maji ya DAWASCO yanavyomwagika JImboni kwake wakati Mnyika Ubungo anahangaika.
Halima, natarajia kukupa ushindani mkali 2015. Tuombe uzima.
Na baba yake kapora kiwanja cha mjane mbezi eti anadai kilikuwa chake akakisahau toka miaka ya themanini!
 
Lakini mwanzisha thread kataka na "private life" ya Mbunge wetu itazamwe. Pengine anao ushahidi. Ni mzuri sana huyu binti, kwa nini hajapata mme ni ajabu kidogo.

Mkuu, una uhakika kwamba hajapata mme?

Na kama mwanzisha thread anao ushahidi, mbona anauliza hapa JF badala ya kuuweka hapa watu waujadili?
 
Umewaguza chadema kwenye masaburi yao angali wanavyon'gaka!!!!!!!!!!!!

Thread nyingine bwana!

Unajikurupukia tu na kuleta pumba zako humu kama mtu aliyetoka chooni bila kuji swafi.

Yatafute wewe hayo unayotaka kama unaona yana umuhimu kwako na kwa wengine kisha ndio ulete hizo data hapa watu wachangie. Weee umebweteka makalio hapo kwa pc alafu unakurupuka na maswali kibao, nani akufanyie hiyo kazi?? Unapenda vya mterezo kweli wewe.
 
Je, Halima Mdee katika Mafuriko ya dar amesikika vya kutosha? Dar ina majimbo 8 kama sijakosea, wabunge wote si wa upinzani wala chama tawala hawakusikika. Hata lile suala la mabondeni wameichia serikali ya JK wakiogopa kukosa kura za wapiga kura wao.
 
maswali mengine bana , ila ungejipanga thread ingekuwa na mashiko! mpaka hapa ni upupu tupu na ingefaa kwenda jukwaa husika la issue personal ... Mods haifai kuwa hapa
 
Kuna issues kubwa tano ambazo bado zinamtatiza:
-Migogoro ya ardhi jimboni kwake ni mingi mno. Hajasema mkakati wake ni upi kuipunguza kama sio kuimaliza.
-Miundombinu na hasa barabara kwenda makazi ya wanyonge ni tatizo:
-Barabara za Makongo, Wazo kwenda Madale, Mbopo, MabwePande,...
-Ajira kwa vijana wa Jimbo lake. Sioni ubunifu wake katika hili.
-Soko la Tegeta kuendelea kuwa kero pale barabarani.
-Maji ya DAWASCO yanavyomwagika JImboni kwake wakati Mnyika Ubungo anahangaika.
Halima, natarajia kukupa ushindani mkali 2015. Tuombe uzima.

Halima anafanya kazi,matatizo mengine kama migogoro ya ardhi ni matatizo chronic.Halima anajitahidi sana ukilinganisha na Mbunge(Wabunge wa CCM ) waliokuwepo jimboni kabla yake
 
Thread nyingine bwana!

Unajikurupukia tu na kuleta pumba zako humu kama mtu aliyetoka chooni bila kuji swafi.

Yatafute wewe hayo unayotaka kama unaona yana umuhimu kwako na kwa wengine kisha ndio ulete hizo data hapa watu wachangie. Weee umebweteka makalio hapo kwa pc alafu unakurupuka na maswali kibao, nani akufanyie hiyo kazi?? Unapenda vya mterezo kweli wewe.

Halafu mengi ya hayo maswali ni ya kibinafsi zaidi.Wa kujibu labda Halima mwenyewe.. Kisha anauliza kama Mdee ni cabinet material. Mi ningemshauri mleta mada aanze na wabunge wenye chama kinachoendesha serikali kwa ilani yake.CCM. Tena aanze na wale wabunge wenye uwaziri na ukuu wa mikoa..
 
Mada zingine zinaharibika pale unapochanganya na mambo ya kijinga,ni ujinga kuanza kufuatilia mshahara wa mtu mara ameolewa au bado,mara sijui kitu gani,unapoanza kufuatilia personal issue za mtu unataka zikusaidie nini?na je wewe ni mwananchi wa jimbo gani maana usije ukawa unatuuliza ahadi wakati wewe ni mwana Kawe hii itakuwa ni uvivu wako wa kutokuhudhuria mikutano ya kampeni,ila kama unatoka jimbo tofauti basi bado utujuze kwanza motive behind ya kutaka taarifa nyingi kama hizo,hata hivyo bado mapema sana kujiandaa kwa kutafuta jimbo na ninavyojua Mh Mdee ni mtu wa kazi.
Inavyoonekana wewe ni Gamba,maswali yako ulivyoyaweka napata picha hiyo,lakini ili upate uhakika na majibu nenda ukamuulize yeye mwenyewe kama unashida kweli isije ikawa ni unafiki tu.
 
kama mtoa hoja ana lengo zuri kwa nini kaja na maswali badala ya maswali na majibu walau machache?
 
Nadhan anapatikana humu ndani, kwa hiyo atatusaidia kuweka sawa hizi hoja...!
 
HAYO MASWALI aulizwe mwenyekiti wa chama cha magamba.ahadi kibaaao lakini hakuna hata moja iliyo tekelezwa.
 
Pia atujuze marital status yake.

Yupo single..haya sema ulikuwa unahitaji nini baada ya kupata maritual status yake...? maana kuna maswali mengine ni ukosefu wa kazi za kufanya...na upunguani,nyinyi ndio mnatujazia server hapa na ndio mnaoharibu sifa za JF...pumbavu sana!!
 
mdee1.jpg


Mwaka ushapita sasa tunaomba wana KAWE na wana Dar na JF kwa ujumle mtuleteee report card ya huyu HALIMA MDEE

Je Mbunge huyu alitoa ahadi zipi kwa wana KAWE

Je ana elimu gani?

Komsomea nini

Kasoma wapi?

Je kashatekeleza ngapi?

Je yumo kwenye kamati zipi?

Je anato access kwa wapiga kura wake?

Je ana ofisi jimboni kwake?

Je anayo website?

Je anayo namba maalum ya kuwasiliana na wapiga kura wake?

Je anayo Facebook page?

Je anapatikana kwenye Twitter?

Je ana fanya surgery (kukutana na kuwasikiliza ) wapiga kura wake?

Je ame declare interests zipi kama mtumishi wa umma?

Je analipwa mshahara kiasi gani?

Je anachukua posho?

Kiasi gani anachukua kwa mwezi?

Je wana KAWE wanamaoni gani kuhusu performance yake?

Je potential competitors wake in 2015 ni akina nani?

Je ana maoni gani kuhusiana na blue print ya kuliendeleza jumbo la KAWE?

Je amopokea zawadi sosote toka kwa wafanyabiashara au watu binafsi?

Zawadi hizo ni zipi?

Je ame declare kama amepokea hizo zawadi?

Je private life yake ni reflection ya hao anawa wakilisha?

Je KAWE kuna issues 5 kubwa ambazo alitakiwa kuzishughulia je ni zipi?

Je ana shiriki kwenye shughuli za kijamii (yuko close na wapiga kura wake) au haonekani mpaka kutokee issue yenye kumpa publicity?


Je kwa Mtazamo wa haraka haraka HALIMA MDEE atarudishwa tena na wan KAWE in 2015?

Je ni Cabinet material? If so wizara gani itamfaa?

Rough estimates za Budget ya HALIMA kulichukua tena jimbo la KAWE ni kiasi gani?

Mambo vp James Mbatia? naona mission yako ya kumng'oa Kafulila inakwenda vyema...hongera mkuu,sasa naona unamtafuta kamanda Mdee...huyu sio Kafulila utahara hara tu hapo.
 
Back
Top Bottom