nani akujuze?
Do u think is easy??? Itakula kwako, pole sana, nakushauri hata usidhubutuKuna issues kubwa tano ambazo bado zinamtatiza:
-Migogoro ya ardhi jimboni kwake ni mingi mno. Hajasema mkakati wake ni upi kuipunguza kama sio kuimaliza.
-Miundombinu na hasa barabara kwenda makazi ya wanyonge ni tatizo:
-Barabara za Makongo, Wazo kwenda Madale, Mbopo, MabwePande,...
-Ajira kwa vijana wa Jimbo lake. Sioni ubunifu wake katika hili.
-Soko la Tegeta kuendelea kuwa kero pale barabarani.
-Maji ya DAWASCO yanavyomwagika JImboni kwake wakati Mnyika Ubungo anahangaika.
Halima, natarajia kukupa ushindani mkali 2015. Tuombe uzima.
Yupo single..haya sema ulikuwa unahitaji nini baada ya kupata maritual status yake...? maana kuna maswali mengine ni ukosefu wa kazi za kufanya...na upunguani,nyinyi ndio mnatujazia server hapa na ndio mnaoharibu sifa za JF...pumbavu sana!!?
Hao nanye nimpetaga!
Looks like hii imewagusa sana wahusika lakini ukweli uko pale pale
Umewaguza chadema kwenye masaburi yao angali wanavyon'gaka!!!!!!!!!!!!
Kweli unakaa jimbo la kawe? nimelkaa jimbo la kawe miaka 15 Halima ndio mbunge pekee nimemuona na akitembelea jimbo tuache siasa mama mlaki na adamjee hawajui njia ya goba
Hao ndo wale walosoma enzi za middle school, ni class mate wa watawala wetu wa sasa. Sifa yao kubwa ni kudeal na mambo yakipuuzi na kuacha yale ya msingi.mwambie agoogle,asi tuchoshe,uvivugani huo? Alisomaje enzi zake huyu?
Kesi yako inasomwa lini?Hao ndo wale walosoma enzi za middle school, ni class mate wa watawala wetu wa sasa. Sifa yao kubwa ni kudeal na mambo yakipuuzi na kuacha yale ya msingi.
Looks like hii imewagusa sana wahusika lakini ukweli uko pale pale
Kura za WATANZANIA ziko sokoni kama bidhaa nyingine. Ugumu uko wapi kama una njuluku?Do u think is easy??? Itakula kwako, pole sana, nakushauri hata usidhubutu
Pia atujuze marital status yake.
sipo kawe ila bungeni ni mtambo.
Haya maswali yangekuwa yana ulizwa viongozi wetu kila mwezi tungekuwa peponi lakini serikali iliopo hakuna kitu kama hicho mradi siku zinaenda