busy bees
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 2,249
- 1,332
I second your opinion 100%@Mla Panya,
I won't blame you probably ni uelewa mdogo ukiongezea chuki binafsi.
1: Ujenzi was reli ukikamilika sio mizigo ya Rwanda tu itakayopitishwa,mizigo inayoelekea mashariki ya DRC sanasana Coma pia itatumia reli hii.
2: I wish ungejua revenue zinazotokana na mizigo iendayo Rwanda kupitia Dar, usingeongea upuuzi unaouongea sasa hivi.
3:Chuki zako binafsi dhidi ya Kagame inabidi uzitofautishe na nchi, Rwanda itaendelea kuwa jirani ya Tanzania daima:
4:Umetoa proposal kwamba ingekuwa bora reli hii ingejengwa kuelekea Kenya, kwani zikijengwa mbili kunashida gani? Project kama hizi inahitaji willingness na priority ya nchi husika. Probably Kenya au jirani wengine hawako tayari kwa sasa,are we to wait for them?
Fikra kama hizi ndio zinadidimiza bara letu.