Reli ya SGR inaanza kuwa uhalisia

Reli ya SGR inaanza kuwa uhalisia

Wrong.
Train yetu itakuwa na control system inayoitwa CBTC-Communication based train control. Kutakuwa na direct communication kati ya track na train itakayowezesha kujua position ya train na kucontrol speed yake. Train hata zikikaribiana hazitaweza kugongana. We unaongelea train za kizamani zilikuwa zinatumia block system. Kama hujua jifunze kwanza ndo ubishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
siyo hivyo tuu bali inabidi mfahamu kuwa kwenye railway systems kuna Traffic Controllers ambao ndiyo wanao authorise inter crossing. Kwa hii train hii inawezekana kabisa treni moja ikatoka morogoro na nyingine ikatoka dar na zote zikafika kwa wakati mmoja.
 
Kwa hiyo shida yako wewe ni neno standard gauge?

Kuna narrow gauge(2 types), meter gauge, standard gauge na broad gauge.

Kajifunze kwanza hizo aina ndio uje tujadiliane hapa otherwise you are too low for me.
Simple common sense, train and rail are two different things! Ukiongelea standard gauge unaongelea reli wakati tulikua tunajadili mda wa kutoka moro hadi Dar, reli inakujaje? au ndo unapindisha mada ili uone kama umeshinda?
Haya ngoja nikubali, turudi kwenye mada yetu, standard gauge railway ikitoka morogoro hadi Dar ikisimama kila kituo itachukua mda gani?
 
Cooked GDP, umewahi fika Kenya? Umewahi fika Mombasa? na je Nairobi? Kama umefika sawa lakini kama bado basi fika huku kwanza ndio ulete vijembe hivyo kama Geza Ulole na Annael, Watu ambao hawawezi kubali ukweli
Mie sijafika lakn kwa infrastructures na majengo kwenye mini ya Kenya kwa kwel mumepiga hatua na hope by 2020 ntakuja kitembea kenya
 
Simple common sense, train and rail are two different things! Ukiongelea standard gauge unaongelea reli wakati tulikua tunajadili mda wa kutoka moro hadi Dar, reli inakujaje? au ndo unapindisha mada ili uone kama umeshinda?
Haya ngoja nikubali, turudi kwenye mada yetu, standard gauge railway ikitoka morogoro hadi Dar ikisimama kila kituo itachukua mda gani?
Hahaha kijana mbona una some concrete issues?

Sasa locomotives za umeme utaziendeshea kwenye narrow gauge?

Narrow, meter gauge zinawezakusuit speed ya locomotives za SGR?

Sihitaji unijibu, I rest my case.
 
siyo hivyo tuu bali inabidi mfahamu kuwa kwenye railway systems kuna Traffic Controllers ambao ndiyo wanao authorise inter crossing. Kwa hii train hii inawezekana kabisa treni moja ikatoka morogoro na nyingine ikatoka dar na zote zikafika kwa wakati mmoja.
Of course itakua hivyo, hii railway itakua single track lakini kutakua na maeneo yenye more than one track zitakazotumika kupishanisha trains (divergent crossing au facing and trailing points)

Ambapo itaweza kuruhusu trains kutoka each point kusafiri kwenye single tracks bila tatizo
images
 
Hahaha kijana mbona una some concrete issues?

Sasa locomotives za umeme utaziendeshea kwenye narrow gauge?

Narrow, meter gauge zinawezakusuit speed ya locomotives za SGR?

Sihitaji unijibu, I rest my case.
Kwa kawaida kunakuwa na aina kubwa mbili za usafari wa train. kuna zile ambazo husimama vituo vingi na kuruhusu abiria kupanda na kushuka lakini pia kuna zile ambazo tunaziita za express. Hizi aidha huwa hazisimami mahala au husimama vituo vichache sana.
 
Safi sana, kuna wakati ukisoma habari hakuna kinachokujia zaidi ya Tabasamu tu.
 
Kwa kawaida kunakuwa na aina kubwa mbili za usafari wa train. kuna zile ambazo husimama vituo vingi na kuruhusu abiria kupanda na kushuka lakini pia kuna zile ambazo tunaziita za express. Hizi aidha huwa hazisimami mahala au husimama vituo vichache sana.
Hii railway yote ikikamilika mpaka let's say Mwanza kutakua na locomotives za shifts tofauti katika siku na hapo ndio kutakua na train ya express na delay

Express itakua na vituo vichache sana na delay itakua na stations nyingi, kutakua na trains za destinations tofauti kufuatana na muda na whether ni express au delay
 
Sijasema hatuhitaji reli ya kisasa, bali kigezo kinachotumika ni kubeba mizigo mingi, je iko wapi hiyo mizigo iliorundikana bandarini. Kama reli iliopo sasa hivi tunashindwa kuitumia ipasavyo je unafikiri hiyo mpya ndio itakuwa tofauti? Hapa hatutafuti nani ana reli bora zaidi hapa duniani bali nani anaitumia reli yake ipasavyo, bahati nzuri siishi mbali sana na reli, siku ukiona treni ya mizigo inapita unajiuliza hivi bado zipo?
Wewe kweli hujui kufanya evaluation! Kwa mtazamo wako unafikiri sababu ya kutoona reli za mizigo sa hz ni kwa sababu mizigo hakuna?

Hakuna mtu atakubali kuweka mzigo wake kwenye reli mbovu ambayo safari ya siku tatu yenyewe inatumia week moja au zaidi? Obviously hakuna mfanya biashara atakubali hilo!

Ngoja nikupe mfano, ukienda mikoa ya pembezoni, mfano nenda pale mkoa af uambiwe mzigo uko bandarini, utaambiwa uje baada ya week 1 ndo utakua umefika! hv vitu ndo vinatakiwa kuondolewa, mizigo ifike mapema sehemu husika!

Kama hujui umuhimu wa usafirishaji wa mizigo kwenye uchumi wa taifa basi ukae kimya
 
Watanzania kwa nadharia hatujambo. Kwani Kenya wakati wanajenga SGR yao TZ walikuwa wapi, wakati Kenya Airways inatamba, ATCL walikuwa wapi, makampuni karibu yote ya kimataifa yameweka HUB zao Kenya hata BBC, CGTN n.k. Tumejaa nadharia kama washabiki wa Yanga na Simba, kila shabiki anaamini timu yake ni bora lakini hawajiulizi mbona hawashindi mechi za kimataifa! Acha kuandika kama shabiki wa chama cha kisiasa, magari kuharibu barabara ndio awamu hii umeanza kuona hilo tatizo, ni kama vile raia anaeshabikia majumba kubomolewa wakati kila mtu anajua serikali haina uwezo kuwajengea raia wake makazi. Hakuna kigeni ambacho Nyerere hakukifanya na vyote imebaki historia.
Nakushauri urudi ukapitie tena athali chanya na hasi na mfumo wa ujamaa Tanzania na ule wa ubepari kenya, halafu urudi!
 
U
Hahaha kijana mbona una some concrete issues?

Sasa locomotives za umeme utaziendeshea kwenye narrow gauge?

Narrow, meter gauge zinawezakusuit speed ya locomotives za SGR?

Sihitaji unijibu, I rest my case.
I can read you like a book boy!
Huhitaji nikujibu cz unakimbia mada from the fact kwamba umegundua ulikurupuka sasa you are looking for a comeback so unahamisha mada ili usionekane jinga.
Narudia tena, (if you can get it through your seemingly thick skull) we were discussing the TIME it would take to get to Dar if busses were not ferrying passengers to Dar from morogoro.
You can talk about the types of rail all by yourself, wen you are done fact will be facts. Ulikurupuka kijana na saivi unatapatapa
 
Back
Top Bottom